Jamaa anawavutia vijana wengi kwamba watafute hela ilihali wengi wao wanatafuta hela kwa kujiajili au kuajiliwa ila hawawezi kufikia level ya maisha anayoyaonyesha huyu jamaa..sasa hawajiulizi watafutaje zaidi ya wanavyotafuta..manake waende kwenye hilo jivho la 3 ambalo hawalijui inawabidi watoe hicho kiingilio..naamini jamaa anakusanya pesa zao 150k kwa wengi mfano wakituma watu 100 kwa siku anapata 15,000,000ml akizitoa anapiga nazo picha..vijana wanawewuka wanatuma tena na tena....haaha wanajaa kwenye mfumo