Chief Godlove anachekesha kwamba kujiunga na jicho la tatu ni 150kπŸ˜‚πŸ˜‚

Wanaojaa ni wenye akili nusu.
 
Basi tuseme ni kukosa akili mtu wangu✊
 
Atawaibia sana mpaka akili ziwarudi na BOT wala haiingilii huyu Tapeli anavyowaibia TCRA na Polisi wamekaa tu wanawachora
 
Atawaibia sana mpaka akili ziwarudi na BOT wala haiingilii huyu Tapeli anavyowaibia TCRA na Polisi wamekaa tu wanawachora
Eti jiunge na nguvu ya pesa.

Uhuni tuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Leo nitacheka, Mana kuna watu wanapigwa kifala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…