SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Bilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m.
#Kijana Stuka#
#Kijana Stuka#
Kwasabbu utajiri wake hauna barabara mkuu....afu kelele nyingi fbKwanini unasema bilionea wa mchongo?
#bilionea kivuli,cha wenye fedha zao!,alimsaidia bw.fulani katika kesi zake,basi kapewa hisani ya kidugu!,ili naye awepo awepo angalau!Bilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m.
#Kijana Stuka#
Utajiri una Siri nyingiKwasabbu utajiri wake hauna barabara mkuu....afu kelele nyingi fb
Legume ni aina za mbegu mbegu ( sorts)Kwanini unasema bilionea wa mchongo?
Kiki kwq bodabodaBilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m.
#Kijana Stuka#
Nani kakudanganya? Wangekuaje tajiri?MASIKINI NDIYO HUWAJADILI MATAJIRI LAKINI MATAJIRi HAWANA HUO MUDA
Anatafuta chanzo kingine chamapato nanguvu ya Serikal
Elon tu nae kaajiriwa
Watakula pesa tu