SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #21
Bilionea msanii
Unalinganisha wakina Mo na Godlove? Sura mzito kama ngozi ya gotiInawezekana hatafuti hela,anaongeza ulinzi wa alichonacho, unadhani Abood anashida na mshahara? Kina Rostam au MO walikuwa na njaa?
😆😆😆😆😆Bilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m.
#Kijana Stuka#
Wapi?Elon tu nae kaajiriwa
KabisaUtajiri una Siri nyingi