SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
-
- #21
Unalinganisha wakina Mo na Godlove? Sura mzito kama ngozi ya gotiInawezekana hatafuti hela,anaongeza ulinzi wa alichonacho, unadhani Abood anashida na mshahara? Kina Rostam au MO walikuwa na njaa?
πππππBilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m.
#Kijana Stuka#
Wapi?Elon tu nae kaajiriwa
KabisaUtajiri una Siri nyingi