Chief Godlove ni mtu wa wapi?

LMAO...

Umejuaje kama masharti ndo hayo?
 
kuna kitu kinamtesa hayupo vizuri saikolojia yake.
hilo tu ndo nakubaliana na wewe, mambo ya ushirikina hayana uhakika. Huyu jamaa kuna kitu hakiko sawa kwenye saikolojia yake inampelekea kudhani kujianika hvo na kupata attention ndio tiba. Inaweza kuwa ni trauma au sideeffect ya kwenye harakati za kuzisaka hizo noti
 
Video moja anacheza ngoma ya kienyeji nyuma ya kifremu kinasema, "Godlove Phone Accessories". Anashangaza kuitwa Godlove wakati anaposti video kavaa kama Muislamu na anatoa dua kabla ya kula na kadhalika. Huyu jamaa nilimshangaa sana. Hayupo sawa kichwani. Atakuwa anatumia madawa ya kulevya. Yupo "hyper" sana na anatumia nguvu nyingi sana na kujikakamua kuonyesha yeye ni "kidume cha mbegu", kitu ambacho mwenye ukwasi kama anavyojidai hamna haja kabisa kuhangaika.
 
Wew ni mmoja wa ao maboya wanaomfatilia umejuaje stor zake kama umfatilii kiaz ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…