Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Mkuu nimewaza,lakini zile nyumba na range rovers anapiga misele tusemaje?kwenye hela tumempata, Yule jamaa kuna something wrong ,ila kufanya show off na mbao kweli?zile hela anaziazima?
Wote hao hamna kitu mkuu kelele tu nyingi
Sahvi bongo mtu anakuambia bilionea
Huku source ya income yake haijulikani
Mtu yuko mtandaoni kuanzia asubuhi mpk usiku kaZi anafanya saa ngapi?
Matajiri mabilionea hawanaga kelele

Ova
 
Hao wauza sura tu,
unamfahamu papaa msofe wewe? Pdg katunzi?
James kilinda,Chacha,Ndama etc
Hao watu wna hela sio za nchi hii.
Ila wamepiga kimya tu
 
Mtoto mdogo mwenye pesa nyingi ,kiongozi wa chama na serikali.

Pesa kidogo mbao nyingi.

Juzi aliingia "SHELI" akaweka mafuta ya laki 6 kwenye gari tatu ,Benzi ,Alphad na bmw akasema kama anaigiza basi na wewe igiza.

Kwasasa anashow off mabegi yamejaa hela.
 
Pesa hainaga maigizo
 
Hi
Hivi wasukuma mnatuchulia poa sana ...
 
Utapeli tu hapo hakuna lolote.
 
Nimepitia thread hii na kusoma comments zote, lakini kwa bahati mbaya sana hakuna kitu Cha maana ambacho nimekibaini. Isipokuwa nilichogundua no kwamba Watanzania wengi Sana bado wako na fikra za enzi za ujima, wanapenda Sana kujihusisha na mambo ya Kiswahili-swahili ya kufuatilia maisha binafsi ya watu wengine huku maisha yao binafsi yakiwashinda. Hali hii iko tofauti sana mfumo wa maisha ya wenzetu ktk nchi zingine ambako watu wapo busy Sana ktk kukimbizana na muda kwenye utafutaji wa riziki.,
In fact, an idle mind is the devil's workshop!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…