Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
Nijuacho dogo ni mzaliwa wa Ipinda Kyela, familia yake ni wakulima pia baba yake ni muinjilisti. Tangu aje mjini hana miaka mitano. Nisikiavyo ni kuwa dogo pesa yake ni ya Kwa mganga. Sharti alilopewa ni kutopiga tunda hata kimasihara[emoji1787][emoji1787].
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!! Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba... kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma ... yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!!

Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu... yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!!
Ushirikina hapo nakubaliii
 
Nijuacho dogo ni mzaliwa wa Ipinda Kyela, familia yake ni wakulima pia baba yake ni muinjilisti. Tangu aje mjini hana miaka mitano. Nisikiavyo ni kuwa dogo pesa yake ni ya Kwa mganga. Sharti alilopewa ni kutopiga tunda hata kimasihara[emoji1787][emoji1787].
Hahaha sasa kuna raha gani kumiliki pesa zote na matanuzi yote hayo alafu unaishia kuangalia matako na ngozi zao laini bila kuchakata mbususu zao?🤣🤣
Sa bora nibaki na kipato changu hiki halali na mbususu nachagua nizitakazo😋
 
Hahaha sasa kuna raha gani kumiliki pesa zote na matanuzi yote hayo alafu unaishia kuangalia matako na ngozi zao laini bila kuchakata mbususu zao?[emoji1787][emoji1787]
Sa bora nibaki na kipato changu hiki halali na mbususu nachagua nizitakazo[emoji39]
Tumetofautiana Mkuu labda mwenzetu anapenda misosi na sio mbususu[emoji1787][emoji1787]
 
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
Nasikia ni mwalimu Mpwayungu Village
 
Hata mzee yusufu enzi zake aliambiwa ushirikina sijui Freemason, mpaka alijibu Kama ya kweli na nyinyi fanyeni ushirikina, daimond alivuma naye ufreemason ushirikina, vingine juhudi tu na kuandikiwa kupewa, sio kila anayezifuma ni mshirikina.
 
Wanaomfahamu wanakwambia psychologically hayuko sawa, unadhani kwasababu gani mkuu? Kutochakata mbususu kunakaribisha wehu maishani[emoji38][emoji38]
Siku zote mganga hukupa masharti ambayo ni magumu. Mwanzo ukiwa huna hela unaweza fikiri kuwa utayamudu lakini ukizipata unatamani kuyavunja hapo ndio unaanza kuukaribisha wehu.
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!! Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba... kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma ... yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!!

Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu... yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!!
We nae wivu tu,
 
Da hawa ma Dr wanamashariti magumu,eti nipate pesa alafu nisichakate mbususu alooo! Na kama ndo ivo wenda yeye ndo anachakatwa qddddk
 
Back
Top Bottom