Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Nakazia hapa pesa uwe nayo ikufurahishe usikute jamaa watoto wazuri hapa town anawapigia nyeto tu sema ukimchunguza sana kisaikolojia hayuko sawa anatumia ile kuvimba kujiweka sawa kisycolojia...
Ninakuunga mkono.
Kutukana watu kuwa ni malofa na wavivu wa kutafuta as if binadamu wote wako level moja kimazingira, kijiografia, kielimu, kibahati na kiutafutaji ni upungufu flani wa akili regardless mtu huyo ana kipato kiasi gani.
 
Kuna mtu aliwahi kukutana nae anaendesha IT anavusha magari nchi jirani. Mwanangu gwamaka pia ameniambia huyu jamaa akiwa form one walimlawiti
Duuuh nyie watu, mbona ulawitii umewajaa sana kuuzungumzia? Mmmh
 
punguza chuki mkuu....jamaa kakuzidi kubali tu
Mkuu,
Sinaga chuki za kibwege namna hiyo. I appreciate the life I'm living niko comfortable kabisa labda ongelea nafsi yako binafsi
 
Mkuu,
Sinaga chuki za kibwege namna hiyo. I appreciate the life I'm living niko comfortable kabisa labda ongelea nafsi yako binafsi
Mimi niko Okey pia na maisha nayoishi...ndio maana sinaga muda na nani anasema/anafanya nini au anaishije provided hana madhara.
Mwacheni dogo aishi atakavyo mkuu...wote tumepungukiwa
 
Mimi niko Okey pia na maisha nayoishi...ndio maana sinaga muda na nani anasema/anafanya nini au anaishije provided hana madhara.
Mwacheni dogo aishi atakavyo mkuu...wote tumepungukiwa
NI Kweli mkuu sasa notion yako hapo juu inaonekana as if mimi nina makasiriko juu ya dogo kumbe mimi nimeongea nilichosikia, after all Sisi ni kama vidole vya kiganjani hatuwezi fanana. Ndiomaana tunazidiana kimaisha, ukiwa na makasiriko kwa kila aliyekuzidi basi unaishi maisha yenye msongo wa mawazo sana
 
Mkuu,
Sinaga chuki za kibwege namna hiyo. I appreciate the life I'm living niko comfortable kabisa labda ongelea nafsi yako binafsi
Kwahiyo Kila kitu unachosikia unakuja kukiongea ukiambiwa uthibitishe mahakamani utajibu hivyo hivyo ulisikia acha wivu mzee tafuta pesa
 
Kwahiyo Kila kitu unachosikia unakuja kukiongea ukiambiwa uthibitishe mahakamani utajibu hivyo hivyo ulisikia acha wivu mzee tafuta pesa
Acha udwanz basi chief, hiyo topic imekua closed na tulimaliza hapo juu na mkuu, pambana na hali yako, hatujuani!
 
Angekuwa Msukuma, it’s okay?!!! Jamani, msituletee watu wa hovyo hivi. Huyu wenu wenyewe Wanyakyusa, mbaki nae huko huko.
Nasikia Mungu aliumba siku 6,siku ya 7 Alipopumzika ,shetani akamvizia akaumba wasukuma.
 
Back
Top Bottom