Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake.

Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie kipindi tusiwe na vijana wenye matusi, walevi, wasio fanya kazi na tegemezi
 
Back
Top Bottom