Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

Siwezi kumdhuru mtu.

Wapo watakaoenda mbali kuleta fujo DHULUMA ikifanyika.

Wakitenda HAKI hamna uvunjifu wa amani utajitokeza.
Si umesema unatafuta dumu la petrol? Lazima waendelee kukufuatilia kwa karibu.
 
@Maxence Melo comment za namna hii ziangalieni sana, hakuna mtu au taasisi yenye nguvu kuliko Serikali mahali popote duniani.
Comment za hovyo hazitakiwi kipindi hiki kikinuka wataanzia humu tuwe makini kwa kila unachochangia
 
@Maxence Melo comment za namna hii ziangalieni sana, hakuna mtu au taasisi yenye nguvu kuliko Serikali mahali popote duniani.
Hakuna taasisi? Ilikuaje Moi akaangushwa? Serikali nzima ina watumishi laki 5 ila wananchi ni million 60!!!

Ni hvi, hakuna nguvu zaidi ya UMMA ukiwa na umoja. Hyo serikali inapewa jeuri sababu ndio pekee ina miliki Vifaru na mabomu otherwise haina kingine cha kuzuia nguvu ya raia.

Kma kipo kitaje
 
21 October 2020
Vuga, Zanzibar
Tanzania

Maalim Seif akutana na mawakala wa Unguja, awaambia uchaguzi wa mara hii ni wa ukombozi​

21 Oct 2020
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana hivi leo na mawakala wote wa kisiwa cha Unguja na amewakumbusha kwamba uchaguzi wa mara hii ni wa kutetea mamlaka na ukombozi wa Zanzibar kwa ajili ya vizazi vyao.
 
Hakuna taasisi? Ilikuaje Moi akaangushwa? Serikali nzima ina watumishi laki 5 ila wananchi ni million 60!!!

Ni hvi, hakuna nguvu zaidi ya UMMA ukiwa na umoja. Hyo serikali inapewa jeuri sababu ndio pekee ina miliki Vifaru na mabomu otherwise haina kingine cha kuzuia nguvu ya raia.

Kma kipo kitaje
Kwa hiyo hao million 60 wote wako upande wa saccos ya Chadema pia ni watu wazima wote hakuna watoto wala wazee??
 
Mkuu mfano wapiga kura wa CHADEMA walikua million 6 sasa imagine wagu 6m wanaweza shindwa na watumishi laki 5??

Tofauti ni bunduki tu na vifaru ila serikali ni watu kma sisi tu hawana jingine la kutisha au miujiza kwamba wanayeyuka au kutembea angani!!

Otherwise Kina Compaore wasinge kimbia ikulu
 
Kumbe hujui hao million 6 walikuwa washabiki wa Lowassa wakiwemo wanaCCM na wengi wao wamesharudi CCM. Tarehe 28/10/2020 utaamini mkuu
 
Mambo mengine kama ni kweli yanakera sana.
Ukimwi kwenu
Matetemeko kwenu
Ebora kwenu,kila baya kwenu,ninyi mna mkosi gani,maneno kama haya ya chooni ndo yanaigarimu cCm bukoba msitafute mchawi.
 
Back
Top Bottom