Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mokaze,Shukrani mkuu, Nitaagiza.ππ»ππ»ππ»
Mokaze,
Kitabu kinapatikana Ibn Hazm Bookshop Msikiti wa Manyema na Mtoro,
Elite Bookshop Mbezi, Soma Bookshop Mikocheni, TPH Samora Avenue.
View attachment 1192198
Nemo,Itabidi siku nikipita maduka hayo nijipatie nakala yangu
Ilala Amana kabla ya kufika BOA BANK kuna Stationary vinapatikana hapo...Mkuu, Kinapatikana wapi ??!!
Nemo,
Hutajutia uamuzi wako.
Kitabu hiki kilipotoka mwaka wa 1998 ilikuwa September.
Mwezi December kabla ya X Mas The East African Magazine ilifanya ''serialisation''
tatu.
Camridge Jouranl of African History ikachapa serialisation tatu za mabingwa wa
African History - John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan.
Hadi sasa kitabu kimechapwa mara tatu na kinakwenda toleo la nne.
Struggling for the fittest, asinge fanya hivo angekuwa mzembe! Mkwaiha alikuwa na nafasi nzuri ya kuwa Rais wa kwanza kupitia wakoloni km JOMO KENYATTA alivo kuwa, lkn mzembe alilewa hela ya wakoloni!Duh sasa Nyerere kwa nini alikuwa akiwaweka kizuizini watu wote ambao walikuwa na potential ya kumchallenge?
Sasa kwa nini amuweke ndani Chief Makwawia?
Huyu Nyerere kuna haja ya kumuangalia critically pengine sifa tunazompa nyingine zimepitiliza
Baba yake Bob Nyanga Makani
Waweja sana mayo..View attachment 1191675
David Kidaha Makwaia Pichani, yupo na mwingereza Lord Iveagh siku ya kutawazwa kwa malkia Elizabeth mwaka 1956.
Chifu David kidaha, alikuwa ni chifu wa wasukuma, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 ,alikuwa ndio ngazi kati ya ukoloni na machifu ,na baada ya ukoloni barani Afrika na pia alikuwa na urafiki mkubwa na Gavana wa Tanganyika toka mwaka 1949 hadi 1958, Lord Twining.
Mwakwaia alicheza katikati ya viongozi wa Kiingereza na machifu wa majimbo kadhaa ya Tanganyika, alishuhudia Kipindi cha mpito cha Afrika mashariki kutoka kipindi cha ubeberu hadi baada ya Uhuru.
Makwaia alizaliwa na kuwa muislamu akiwa ni mtoto wa Chifu wa kisukuma ,Makwaia Ng'wandu wa Bwiha Mkoa wa Shinyanga Tanganyika, alijifunza kilimo katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwanzoni mwa miaka ya 1940 Kabla ya kuingia Chuo cha Lincoln, Oxford ,ambapo alisoma kanuni na utendaji wa Serikali za mitaa ,Falsafa na Siasa.
Maisha ya Makwaia kisiasa yalitoa fursa nyingi katika dunia ya viongozi wa kikoloni Tanzania ,na viongozi wa kikabila ,alimpokea Baba yake uchifu wa Busiha mwaka 1945 na baadae akaja kuwa chifu mkubwa wa wasukuma ,Taasisi yenye zaidi ya machifu 50 ,yenye ofisi yake na bendera kupitia hili akatambulika kwa waingereza kama sauti ya mzawa mwenye mamlaka ,mwaka huohuo akachaguliwa kuwa kati ya wabunge wawili waafrika kwenye baraza la kutunga sheria (Legco).
View attachment 1191674
Bob Makani ni mtoto wa jirani kwa Chifu Makwaia.Baba yake Bob Nyanga Makani
Chief Makwaia Baba yake David Makwaia,alikuwa mjomba wa Bob Makani. Mama Yake Bob Makani ni mtoto wa Chief.Bob Makani ni mtoto wa jirani kwa Chifu Makwaia.
Yani kati ya wale wapambe wa karibu na Chifu Baba yake Bob Makani ni mmoja wao.
Wa karibu tunajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe unamfahamu Ng'wana Hwaya ambae ni mama yake Bob Makani. Misuka ni dada ya Chief Makwaia Kidaha.
Ni mjomba wake Bob.Misuka ambae ni mama yake Bob Makani. Alikuwa dada wa chief Makwaia.Baba yake Bob Nyanga Makani
Watu wote waliojaribu kutaka kuonekana wana hoja za kuzidi zile za Nyerere walikiona cha mtema kuni. Fuatilia:Duh sasa Nyerere kwa nini alikuwa akiwaweka kizuizini watu wote ambao walikuwa na potential ya kumchallenge?
Sasa kwa nini amuweke ndani Chief Makwawia?
Huyu Nyerere kuna haja ya kumuangalia critically pengine sifa tunazompa nyingine zimepitiliza
Kuna makala iliandikwa na Daily Mail Nyerere alipofariki, ilieleza jinsi alivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja, kutumia lugha ya Kiingereza na kuweka kuwashawishi watu waikubali hoja yake. Ilikuwa makala nzuri sana ilieleza pia Ujamaa ulivyoharibu mifumo ya maendeleo iliyoachwa na Waingereza.Watu wote waliojaribu kutaka kuonekana wana hoja za kuzidi zile za Nyerere walikiona cha mtema kuni. Fuatilia:
- Joseph Kasela Bantu
- Christopher Kassanga Tumbo
- James Mapalala
- Chief Abdallah Said Fundikira
- Chief Paul David Kidaha Makwaia
- Oscar Kambona
- John Dunstan Lifa Chipaka
- Michael Marshall Mowbray Kamaliza
- Gray Likungu Mataka
- Bibi Titi Mohamed
- Tuntemeke Sanga
- na wengine wengi walioleta ubishi
Alishindwa kujenga hoja dhidi ya hawa watu ikabidi awanyamazishe kwa vyombo vya dola. Marehemu Kasanga Tumbo alikuwa akizungumza kwa uchungu sana jinsi alivyotoka UK miaka ya 1960's akiwa balozi akashuka airport Dar pale diplomatic passport ikachukuliwa kwanza, ubalozi ukaishia pale uwanjani! Akasindikizwa mpaka kwao Tabora akiwa na pair kadhaa za suti ambazo alisema hakupata tena fursa ya kuzivaa kwa maisha ya kijijini ambapo aliwekwa kwenye aina fulani ya detention ambayo hakuruhusiwa kutoka nje ya kijiji chake hadi Nyerere alipostaafu 1985. Na alisema zile suti alikuja akazifungasha akaenda nazo Dar kwa treni mwaka 1992 kwenda kushiriki kongamano la vyama vingi mfumo huo uliporuhusiwa.Kuna makala iliandikwa na Daily Mail Nyerere alipofariki, ilieleza jinsi alivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja, kutumia lugha ya Kiingereza na kuweka kuwashawishi watu waikubali hoja yake. Ilikuwa makala nzuri sana ilieleza pia Ujamaa ulivyoharibu mifumo ya maendeleo iliyoachwa na Waingereza.
Kuna makala iliandikwa na Daily Mail Nyerere alipofariki, ilieleza jinsi alivyokuwa na uwezo wa kujenga hoja, kutumia lugha ya Kiingereza na kuweka kuwashawishi watu waikubali hoja yake. Ilikuwa makala nzuri sana ilieleza pia Ujamaa ulivyoharibu mifumo ya maendeleo iliyoachwa na Waingereza.
Umeeleza vr kabisa cheef makwaia ni baba yangu mzaa bibi yangu kabisa mzaa wa mama yanguView attachment 1191675