Chief Mangungo 2.0 na Ujinga wa Mwafrika 2013..

1. tuendeshe nchi kama wafanya biashara. kwanin waje kuchimba madin, ges na kuchukua wanyama hapa na wasiende kwingine? hapo itatupa uwezo wa kuwabana. hatushindwi kujua wapi kinapatikana nin na kwa gharama gani hapa duniani. wanakopata hivo vitu kwa bei ya bureovyo. 2. tusitegemee waaminifu kwa wanaotusainia mikataba huko maana hawapo. ukimtimua lakin akipewa $5m atajal nin? au atakuhonga usimtimue. 3. mikataba iwe hadharan. 4. husisha vyombo vingi kwenye mchakato. akiweza kuhonga wote atakuwa amefilisika
 
Mojawapo ya mikataba hiyo ule maarufu wa Chifu Mangungo wa Usagara na mingine mingi.
Mikataba siri....

Ujinga wa Mwafrika 2.0

Mkuu Mzee Mwanakijiji, to start with, naomba umtendee haki Chief Magungo ni wa Msovero, shuleni tulifundishwa ni wa Msowero na sio Usagara, unless Msowero ndio was by then na sasa ndio Usagara!
Chief Mangungo wa Msovero.

Nikirudi kwenye issue at hand, mikataba ile ya Karl Peters iliandikwa kwa lugha ya Kijerumani na hakukuwa na mfasiri bali kina Mangungo walidanganywa!. Mikataba hii ya sasa ni ya Kiingereza na sio Kichina!, hapa hatujadanganwa kitu, kila kitu kiko wazi kabisa crystal clear na tumewakubalia!.

Mikataba yote ina kipengele cha "confidentiality" just to protect the rights of contracting parties!. Linapokuja suala la mikataba inayohusu public entities yenye public interest, the contracting parties ni public ya Watanzania, na whoever anasaini huo mkataba, he/she is signing on behalf of The People of Tanzania!, hivyo "we the people" we had "the right to know", each and everything before hand, tena during negotiations period, not otherwise!.

Hawa viongozi wetu hawajifunzi mambo ya Niger Delta, "The Ogoni People" na sasa wanawafanya Wana Mtwara ndio kina Ken Sarowiwa wawanyonge gesi iende Bagamoyo!.

Hili la gesi jamani, mimi mwenzenu nililizungumza hapa kitambo tangu mwezi July, Gesi asili: A "day light robbery?!"- watanzania tunaibiwa Mchana Kweupe!

Mkataba wa Ujenzi wa Bomba la Gesi, nimeuzungumza hapa Tetesi: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Mchina ni "Changa la Macho!".

Watu tumehamanika sana na Mkataba wa Mchina!, laiti tungeujua mkataba wa BG ambao ndio wanaoichimba hiyo gesi, tungelia!. Costs ziko inflated 5 times!, ukiuliza sababu unaambia security risks, "Watanzania hatuna uwezo wa kulinda "oil and gas infrastructures", hivyo makampuni ya bima, yamewalazimisha kutoa tender za ulinzi kwa makampuni ya Afrika Kusini yenye uwezo!. Pia oparations ni very expensive kwa sababu Tanzania hatuna makampuni ya logostics na supply ya consumables yakiwemo maji ya kunywa na vyakula, vyote vinatoka Kenye au South na vinakuwa airlifted!. At the end of the day, anayelipa gharama zote ni sisi!.

Wazungu, Wachina na whoever atakayakuja , has the ability to play on us kwa sababu kila kitu anafanya yeye!, kwa hoja ya msingi kuwa sisi hatujui kitu!.

"Beggars can not be chooses!", we, Tanzanians as a beggars nation, we have to take what we get, not what we want! chini ya principle "if you can't get what you want, just take what you get!"

Ubaya uko wapi?!.

Pasco.

 
huko kwingine wanachimbaje? mazingira yakoje? tuwe kama busines people. kama ingekuwa hiyo gesi na wese mali yako binafsi ungefanyaje? chunguza wenye gesi kama wew waliofanikiwa wamefanikiwaje halafu iga. mbona mengine hatuoni aibu kuiga? sasa tatizo wanaotuwakilisha wakitumwa wakajifunze hayo mambo wanaenda kujifunza jins ya kupiga dili effectively. tatizo letu uzalendo uko chin, uaminifu mdogo, viongoz wetu ndo hvo tena, ubunifu hamna. tusingeshindwa asilani
 
lete ushahidi wa unachosema
tusiwe tunajadili vitu vya kudhani dhani
 
 
Mambo haya yanaamusha hari na molali kwa wananchi na kupandwa na hasira tumeona kwenye dhahabu hatujanufaika na chochote tumeachiwa mashimo matupu, dawa ni kumwondoa huyu mkoloni mweusi
 
Mjalada huu ungekuwa vizuri kama tutazungumzia Chief Mangungo na ujinga wa Mtanzania.Tukijadili sana masuala ya ujinga wa mwafrika kwa maana ya raia kutoka Rwanda,Burundi,Uganda,kenya etc na tukaacha kuzungumzia ujinga wa mtanzania tutakuwa wanafiki.Ni unafiki kwa maana matatizo yetu yatatatuliwa na sisi watanzania wenyewe na si vinginevyo.Kwa wale waliopitia kitabu cha Mathayo Mt.7:3-5 watakubaliana na mimi kwa maelezo aliyoyatoa Bwana Yesu Kristu kwamba nanukuu ''Basi mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako na boriti iliyondani ya jicho lako mwenyewe hauiangaliii?,Au utamwambiaje nduguyo,niache nikitoe kibanzi katika jicho lako na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe.Mnafiki wewe,itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako''.Hivyo wanajamii,tujadili moja kwa moja kwa kuitoa boriti iliyopo kwenye jicho la mtanzania na si kuangaika kwa kukitoa kibanzi kilichopo kwa mwafrika ambaye ndiye ndugu yetu.Leo hii utasikia watanzania kutoyazungumzia matatizo yanayowakabili wakiamini kuwa matatizo tuliyonayo yanafanana na matatizo ya waafrika wenzetu kitu ambacho si kweli,mfano mdogo tu suala la usafi wa mji kwa Dar es Salaam limetushinda,Je usafi uliopo kigali unalingana na DSM na je ni suala la ujinga wa Mwafrika au ni ujinga wa mtanzania?
 

Kama kawaida umeandika na kuleta kejeli bila kujibu na kuelezea yale niliyoandika, kwa maana ni rahisi siku zote kukebehi kuliko kujibu, sasa nataka unijibu, kama ukiweza, kama kweli unafikiri kwamba tatizo ni CCM ni kwa nini wanaoitwa wapinzani hawapingi kwa nguvu zote kutumia pesa zetu kwenda kutibu Viongozi (PAMOJA NA WAPINZANI) nje ya nchi?
Huo utetezi wao wa mwananchi wa kawaida uko wapi? Kama wao watakuwa tofauti na CCM pindi waingiapo madarakani wangetuonyesha ni jinsi gani wanapinga uonevu huu wa kuwaacha Watanzania kufa mahospitalini kusipokuwa na dawa ilihali wao pamoja na jamaa zao wanakwenda kutibiwa nje ya nchi? Mambo ya kupigania sijui Gesi hayana maana yoyote, kama kweli wanamjali Mtanzania wangeanzia hapa kwa maana ndipo maisha ya Mtanzania yanapoguswa moja kwa moja, kumbuka kwamba Upinzani hawajahi kuongoza nchi hii, hivyo ili tuwaamni ni lazima watuonyeshe wako tofauti na hapo ndipo pa kuanzia sio sijui Mnazi Bay, sijui Songo songo, hapana,nataka jibu hapo, Naomba usizunguke nipe tu jibu kuhusu hilo, kama ukiweza!

 

Hizo sababu ulizozitaja ndizo zinatufanya wananchi tutake mikataba iwe wazi. Ulichokisema ni kuwa waafrika hawana uzalendo. Ni kweli. Ndiyo maana mikataba iliyosainiwa na viongozi wa kiafrika inabidi iwe wazi ili watu wajiridhishe kuwa hawajachakachua kwa kupewa fungu la kumi. Wachina wanajulikana kwa kuwahonga viongozi wa kiafrika hata China kwenyewe rushwa imeshamiri ji jambo la kawaida. Sasa huku kwetu kupewa asilimia ya gesi unafikiri ni kitu kidogo tu sisi tunyamaze.
Ninavyojua wabunge wanatakiwa kukagua shughuli za serikali na kuisimamia. Ni kipengele gani cha katiba kinachozuia serikali kuweka shughuli zake wazi kukaguliwa na wawakilishi wa ananchi ambao ni wabunge?
Hivyo tunawajibu wa kuhakikisha mikataba inakuwa wazi.
 

Wawekezaji, hawezi kukimbia kwasababu wananlindwa na Bilateral Foreign Investment Protection Agreements.
Kwa mfano Tanzania ina na Bilateral Foreign Investment Protection Agreements na Uingereza na iko kwenye mchakato mwingine wa kusaign mwingine na Canada.Hii mikataba ndio mwiba halisi wa Mikataba mibovu . Ndio maana unaona hata makamouni ya Canada , au nchii nyingi za ulaya zinazo kuja kuwekeza Tanzania zinatokea Uingereza kwa kutumia loopholes za hizi Bilateral agreement.
IPPAs (Investment Promotion)
Canada's Foreign Investment Promotion and Protection Agreements (FIPAs)
Kama tukiwa na sheria nzuri zinazosimamia maslahi ya Taifa, Kwanza italeta Legal certainty na Itazuia ufisadi.
Kuna option mbili za kufanikisha hili.
1. Nikupitisha sheria ambayo itaweka Limitation ya matumizi ya “Stabilisation clauses” katika mikataba.Matatizo mengi ya mikaba yetu yanatokana na excessive use of “stabilisation clause”.Kwa kufanya hivi itasaidia kuwa inform Investors the rule of the game. Hakuna rule of game now, everything ni shamba la bibi , na kwa kutumia
2. Parliamentary scrutiny of proposed contracts-
 

Attachments

Ebana eeh, vipi kuhusu mishahara ya viongozi kuanzia rais on down? Unaijua? Staki unambie niende idara ya utumishi maana huko nahisi najua tu jibu ntakalolipata...

Wanadai ni siri. Unamlipa mwajiriwa mshahara kila mwezi lakini hujui unamlipa kiasi gani.
 
Mzee Mwanakijiji, Rejea swali lako la mjinga ni nani? Kati ya wanaopiga kura kuchagua viongozi, zaidi ya 80% hawana elimu wala mawasialiano hivyo hupiga kura kwa kurubuniwa na tshirt pombe na mlo wa siku moja. Nyinyi 20% vs wao 80% nani mwenye maamuzi ?
 

Waafrika nadhani tuna curse si bure huu ujinga umezidi. Utadani tulizaliwa kwa bahati mbaya.
 
tunao mangungo wengi sana leo hapa tanzania.... sijui hata tuanzie wapi kutajana
 
Tukianza kwenye family level Tujiulize ni wazazi wangapi huwaandalia watoto wao maisha ya baadae. Then taifa na makuiz pia je tunajifunza nini juu ya kurithisha mali. Je mzee wa miaka 50 anaweza kuwekeza aundio kauli ngoja nile nife maana nikitunza nani atakula. That is why all money stolen huishia kwa viamda na watoto kutumia kwa unga.SHAME ON US AFRICA.
 
Swali linaweza kuulizwa: ni nani aliye mjinga baina yetu? Wao wanaotuambia kuwa mikataba iliyosainiwa ni siri yao tuwaamini au sisi tunaokubali kuwa ni siri tukiamini walichotuambia?

hapa umepiga jichoni.....WAJINGA ni sisi tunaopokea kila kitu na tunalazimishwa ama kuhamasishwa tukubali kuamini na tuna amini.tulipaswakuwa kama watu wa MTWARA MPAKA KIELEWEKE.
 

JIBU KAMA HUONI TOFAUTI KATI YA CCM na CDM basi we ni KILAZA. Huenda pia ikawa hata hujui kama una tetea mafisadi ACHA U-POYOYO
 

WE UMETUMWA KUJAZA SEVER?,Mwandishi ameoNgelea ujinga wa nchi JIRANI?,Khaaa magamba mmeathirika mpaka kufikiri kwenu kume DHOOFIKA,si lazima ua-ndike ,Watu wanajadili namna ya kujikomboa toka kwa huyu mkoloni mweusi we unakuja na POROJO za kujaza sever KAKOJOE UKALALE KIMA FUNGU NA WENZIO.
 
lete ushahidi wa unachosema
tusiwe tunajadili vitu vya kudhani dhani

usha chimba dawa au ndo unaenda?,kama tiyari ka-kae jirani na dereva uone bara bara inavyokuja kwa kasi.kilaza mtoto hapa sio kizota
 

kiwete Ka zurura DFUNIA nzima kaona watu wanavyo endeleza nchi zao na walivyo na uzalendo ye hata kugundua kwa nini nchi yake maskini haja jua kuna kitu hapo?,mbunge wa mtwara kwenda trnida and tobago kaona wananchi wanavyo faidika na malighafi toka kwao kaja hapa anashinikizwa akubali kuchakachua kisa eti alipelekwa nje.CCM WAPUUZI,,,,...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…