Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #61
1.Hiyo iliuwa typo, na mimi nimemaanisha redaction, kwahiyo sidhani kama tunapishana hapo.
2.Hiyo website uliyoitoa inaonesha tender tu huwezi kuona mkataba halisi. Hiyo website ni part to ya compliance ya European Union procument Law ambayo inataka kila chi mwanachama watangaze tenda kwa kutumia e tendering. Hata Tanzania tunayo Tanzania Tenders Portal: Unaweza ukaona tenda zote za tanzania zilizopo na zilizopita. Hata hii tenda ya mafuta ilitangazwa.
3. Mimi ninafanya kazi serekali ya Uingereza na kwa nafasi niliyonayo , ninajua sheria Imesimama wapi. Na kwakifupi mkataba wowote wa kibiashara hauwezi kuwekwa hadharani.
4. Ninarudi tena, hata ukiitoa uingereza, International Law in all forms ( Hard law & Soft Law ) Haitoi mwanya kwa mkataba wa kibiashara kuwekwa hadharani.
5. Nimekueleza, Njia nzuri ni kulipa BUNGE MENO ya kuweza kupitia hii mikataba kabla haijasainiwa inapozidi certain threshould.
6. All your basics questions can be answered if you visit Tanzania Tenders Portal:
Mikataba ya Biashara inayohusisha vyombo vya umma au mikataba ya biashara ya binafsi? Maana najua mikataba karibu mingi ya serikali ya Marekani ni part of public information na mtu au chombo cha habari kikitaka kuona kinaweza kuona. Isipoikuwa kwenye rare cases ambapo mkataba uko classified kuwa ni siri kwa ajili ya national security au defence contract.
Ninavyofahamu mimi kwa experience yangu hapa Marekani negotiations za mikataba ni siri kwa ajili ya suala zima la competitiveness na business advantage lakini mara mikataba inaposainiwa inakuwa ni mali ya umma - na hapa nazungumzia mikataba ya taasisi za umma na vyombo binafsi. Na karibu kwenye states kuna sheria kabisa ambapo inasema pale ambapo chombo cha serikali kinataka sehemu ya mkataba iwe siri ni lazima kieleze kwanini iwe siri na kuna standard ya kufikia kwa kweli.