Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hizo act wala zisikutishe sana, kama kuna interest ya jamii wakiiona imedhulumiwa watatumia maandishi hayo hayo kukuanzishia na kukufungulia kesi. Kwanza watakuita kwenye parliamentary committee (hapo ndio most details za mkataba utajulikana) kuwahoji waziri na baadae mdhabuni wajue kama mchakato wa mkataba ulikuwa fair kwa taifa (sio committee zetu raisi anaweza zuia watu wasiende si ndio upuuzi wenyewe huo). Hapo sasa ndio watatoa interpretition zao za maandishi ya act na kila mtu alivyoelewa yeye na kukutafutia sababu ya kesi.Nimekuwekea hapa, sheria ya Uingereza inavyosema kuhusu hili swala.
Mfano Starbucks, Amazon and google haya ndio makampuni kwa sasa ambayo wameyaamulia kuwa hayalipi kodi vizuri kutokana na faida wanazopata, jamaa walichofanya sio nje ya sheria za nchi lakini walibanwa mpaka kuonyesha nia yao ni kutolipa kadi kwa kutumia loopholes at their advantage. Aim hapo ni kuwaweka wazi hawa si wenzetu na kuwachafua for not being ethical (its their culture thing but it matters a lot), wananchi hapo watawachukia, mbona wenyewe wameomba kuongezea kulipa bila ya kubadilishwa sheria. Halafu kitakacho fuata ni kurekebisha hicho kipengele kilichopo.