16 August 2026
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcM
Tazama video usikie maswali tunduizi mengi kibao yaliyombana kiongozi Dorothy Semu
Chief Odemba ambana na VAR (video) Dorothy Semu wa ACT Wazalendo / aishia kusema no comment
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcM
- Uhusiano wa ACT wazalendo na dola
- Mahusiano ya ACT Wazalendo na CCM
- Uchaguzi wa 2025 ulikuwa heshima kuu kwa ACT WZ
- ACT Wazalendo ni chama cha upinzani eh makini... chama kilichojikita kwenye maswala yanayowasibu wananchi wa Tanzania kila siku."
- "Ni chama pekee ambacho dhema yetu ya uwepo imebaki kuwa mikononi mwa watanzania wa kawaida kumsemea kila Mtanzania."
- "Natosha, ninatosha hii nafasi niliigombea sikupewa zawadi niliigombea nikiwa na hoja."
- "Hakuna nafasi ya kiongozi kivuli kwenye wazalendo wala watu wasidanganyike."
- "Zito Zuberi Kabwe alifanya wajibu mkubwa sana wa kukifikisha East Wazalendo kilipo."
- "Tuliamua kwa pamoja kuwa na mgombea mwingine wa urais na mimi kama kiongozi wa chama kuongoza zoezi hilo... mimi niliiamini kwamba Mpina angeweza kufanya kazi hiyo kwa ubora zaidi.",
- "Mpina hakutokezea tu, Mpina alikuwa ni zao la chama kutafuta wagombea wa nafasi mbalimbali.
Tazama video usikie maswali tunduizi mengi kibao yaliyombana kiongozi Dorothy Semu