Huyu Odemba si alilia eti Nchimbi alikataa kuhijiwa naye. Dume zima unalialia kiseengee.16 August 2026
Chief Odemba ambana na VAR (video) Dorothy Semu wa ACT Wazalendo / aishia kusema no comment
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcMKuhusu Uongozi Wake na Zitto Kabwe:
- Uhusiano wa ACT wazalendo na dola
- ACT Wazalendo ni chama cha upinzani eh makini... chama kilichojikita kwenye maswala yanayowasibu wananchi wa Tanzania kila siku."
- "Ni chama pekee ambacho dhema yetu ya uwepo imebaki kuwa mikononi mwa watanzania wa kawaida kumsemea kila Mtanzania."
- "Natosha, ninatosha hii nafasi niliigombea sikupewa zawadi niliigombea nikiwa na hoja."
- "Hakuna nafasi ya kiongozi kivuli kwenye wazalendo wala watu wasidanganyike."
- "Zito Zuberi Kabwe alifanya wajibu mkubwa sana wa kukifikisha East Wazalendo kilipo."
- "Tuliamua kwa pamoja kuwa na mgombea mwingine wa urais na mimi kama kiongozi wa chama kuongoza zoezi hilo... mimi niliiamini kwamba Mpina angeweza kufanya kazi hiyo kwa ubora zaidi.",
- "Mpina hakutokezea tu, Mpina alikuwa ni zao la chama kutafuta wagombea wa nafasi mbalimbali.
Tazama video usikie maswali tunduizi mengi kibao yaliyombana kiongozi Dorothy Semu
Kuna yule mwingine kama mpemba nimemsahau jinaNafikiri ni waandishi wa habari wawili tu nchini Tanzania ndiyo wanaoweza kuwabana vizuri wageni wao studio
Interview hizi mbili zote za tarehe 16 August 2026 zimebainisha hili kwa uwazi
- Chief Odemba / Dorothy Semu
- Jenerali Ulimwengu / jaji Joseph S. Warioba
Khalifa Said kutoka the Chanzo.Kuna yule mwingine kama mpemba nimemsahau jina
Ilitumika gharama kubwa mno kuandaa lile tukio ila mwishoni kabisa kama kawaida cccm ni waoga mno kwenye mijadala inanikumbusha wakati ule wa mchakato majimboni jinsi vcccccm walivyokala konaHuyu Odemba si alilia eti Nchimbi alikataa kuhijiwa naye. Dume zima unalialia kiseengee.
Naam...huyo huyoKhalifa Said kutoka the Chanzo.
Lakini ukweli ni rahisi sana kusema!