Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kiukweli wote bado yaan kama hawa wawili una jaribunkuwa compare ktk wanahabari wadadisi /wa kufunyuaji wa habari basi binafsi maona wote tuwape at least miaka 5 mbele wajenge uwezo ila mtozi anajitahidiStar tv ina vijana wawili ambao kwasasa ndio manguli wa kuuliza maswali na Wana vipindi vinavyofanana. Chief odemba na Mtozi nyanda Nani mkali zaidi?
Kwanza huyo Odemba hana sifa hata ya uhodari wowote na isitarajiwe hivyo kwa sababu huo uwezo hana.Mkuu kiukweli wote bado yaan kama hawa wawili una jaribunkuwa compare ktk wanahabari wadadisi /wa kufunyuaji wa habari basi binafsi maona wote tuwape at least miaka 5 mbele wajenge uwezo ila mtozi anajitahidi
Huyo Odemba ana mihemko hasa ukimkuta kavaa msuti wake ule kama kijana TISS
Huyo Nyanda ulimuona akimuhoji Sabaya na Makonda?Huyo ndio alikua anatumika kuwasafishaWanatofauti kubwa sana kiuandishi ktk mahojiano.
1.Odemba ni mdadisi pasipo kujenga hoja ya udadisi wa mwingine kwenye majibu ya mgeni wake.
2.Mtozi ni refa mzuri akiwa na wageni wawili.Mgeni mmoja studio kwa mtozi anabitua.
Mtozi mda wa kipindi haukidhi mahitaji ya;
1.Waalikwa
2.Watazamaji
3.Muongozaji
The big agenda ifikiriwe 2hrs.Siku za agenda futeni hayo marudio ya taarifa ya habari.
Habari za kiuchunguzi? Unamfahamu mwandishi Katabaro?Uliza kilichomkuta kwny kufuatilia habari za Uchunguzi za Loliondo.Wote pipa na mfuniko tu.Hatuna waandishi wachambuzi wa kisiasa Tanzania .Hakuna journalist wa kufanya uchunguzi na kuleta uchunguzi wao katika mada mbalimbali kama uchumi,siasa,michezo na mazingira.
Kuna wachumia tumbo tu.
Nimekuuliza unamjua mwandishi Katabaro?Fuatilia Kenya ukaone waandishi wa kiuchunguzi.Mohamed Ali na Parapanda la uchunguzi mpaka akapata umaarufu akachaguliwa kuwa Mbunge wa Nyali Mombasa.Larry Madowo aliyeko CNN kwa habari za uchumi.Kenya waandishi sio waoga pamoja na vitisho wanavyokutana navyo kila siku
Mkuu labda kwa faida ya wengine utuambie kilichomkuta!Nimekuuliza unamjua mwandishi Katabaro?
Nitajie mwingine unayemjua.Ndio mwandishi pekee?Kwa sababu inaelekea kwa mujibu wa jibu lako ndio mwandishi pekee wa kiuchunguzi kwa issue ya Loliondo!!!