Chief Odemba star tv nakuomba andaa mdahalo Kati ya lisu na mbowe tuwapime kwa hoja kama Mbowe atagombea .

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
 
Kwani mbowe ashatoa kauli?
 
Kwenye huo mdaharo, nkurunzinza hawezi kutokea,

Ataambia nini watu
 
Na ingependeza 2025 tukapata mdahalo kati ya Samia na wagombea wengine wa Urais tujue mbivu na mbichi
 
Siku Odemba akiamua kurudi Kenya, nchi ya uraia wake, Chadema watalia sana
 
Uncle Mbowe ukiachia chama December usije Machame, hiyo mali baba mkwe wako (Mtei) na mjomba wako Ndessamburo wamekukabidhi wewe. Kama unatoka, mkabidhi hata Massawe au Swai.
 
Asije machame
 
Hata Lema
 
Back
Top Bottom