Kwani mbowe ashatoa kauli?Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
Soma vizr kichwa
Soma vizr kichwa
Hata LemaUncle Mbowe ukiachia chama December usije Machame, hiyo mali baba mkwe wako (Mtei) na mjomba wako Ndessamburo wamekukabidhi wewe. Kama unatoka, mkabidhi hata Massawe au Swai.
NaamHata Lema