Chikira Mtabari nawaaga

mkuu kama kuna ngiri huko fanya urudi na nyama ya ngiri
hahahahahh sijui kama kuna wanyama huko, nitakupa mrejesho nikirudi yangu weee troublemaker, ila sasa naogopa nisije nikawa nimejitengenezea tatio la kukamatwa na nyara za serikali hahahahahahahah au mali asili zetu
 
Uje na somo utakalo jifunza huko kijijini yaani fursa na changamoto za huko.
haswaaa nadhani lubhambo unamaanisha SWOT analysis niifanye kwa kina au nimekupata tofauti?
 
Hapana siendi nyumbani naenda vijiji vya hukuhuku kanda ya ziwa lakini ni ndani ndani sana hakuna mambo ya simu simu huko
Acha uwongo mkuu kama kijiji gani hakina mtandao sema we una lako jambo kanda ya ziwa ndiyo kwetu hakuna mahali ambapo mtandao hakuna ila kama unakwenda kwa sangoma amekupa masharti hayo hapo sawa usisingizie mtandao
 
Acha uwongo mkuu kama kijiji gani hakina mtandao sema we una lako jambo kanda ya ziwa ndiyo kwetu hakuna mahali ambapo mtandao hakuna ila kama unakwenda kwa sangoma amekupa masharti hayo hapo sawa usisingizie mtandao
haya BADO MMOJA ahsante naheshimu maoni yako mkuu
 
>>>>Kikore Mbare ihi yethina network??


AHA NIHO VUTHANGI MIRA NIIPATA JF


KARIBU VUTHANGI..
 
>>>>Kikore Mbare ihi yethina network??


AHA NIHO VUTHANGI MIRA NIIPATA JF


KARIBU VUTHANGI..
hai, ethi uko kaa hetu vwathu! ni kunu Mwanza ha vasukuma kikore Mzee
 
Kwa heri, ukuje salamaa na zawadi juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…