- Thread starter
- #61
Mwanza yetu ndugu Nemo Judexutakua vijiji vya MKOA gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza yetu ndugu Nemo Judexutakua vijiji vya MKOA gani
Nakushukuru chakii kwa kunijaliKila la kheri CHIKIRA
Ni huvo ndima ja ithangaHaya Ombe Kikore
hahahahahh sijui kama kuna wanyama huko, nitakupa mrejesho nikirudi yangu weee troublemaker, ila sasa naogopa nisije nikawa nimejitengenezea tatio la kukamatwa na nyara za serikali hahahahahahahah au mali asili zetumkuu kama kuna ngiri huko fanya urudi na nyama ya ngiri
haswaaa nadhani lubhambo unamaanisha SWOT analysis niifanye kwa kina au nimekupata tofauti?Uje na somo utakalo jifunza huko kijijini yaani fursa na changamoto za huko.
Naam.haswaaa nadhani lubhambo unamaanisha SWOT analysis niifanye kwa kina au nimekupata tofauti?
Acha uwongo mkuu kama kijiji gani hakina mtandao sema we una lako jambo kanda ya ziwa ndiyo kwetu hakuna mahali ambapo mtandao hakuna ila kama unakwenda kwa sangoma amekupa masharti hayo hapo sawa usisingizie mtandaoHapana siendi nyumbani naenda vijiji vya hukuhuku kanda ya ziwa lakini ni ndani ndani sana hakuna mambo ya simu simu huko
haya BADO MMOJA ahsante naheshimu maoni yako mkuuAcha uwongo mkuu kama kijiji gani hakina mtandao sema we una lako jambo kanda ya ziwa ndiyo kwetu hakuna mahali ambapo mtandao hakuna ila kama unakwenda kwa sangoma amekupa masharti hayo hapo sawa usisingizie mtandao
hai, ethi uko kaa hetu vwathu! ni kunu Mwanza ha vasukuma kikore Mzee>>>>Kikore Mbare ihi yethina network??
AHA NIHO VUTHANGI MIRA NIIPATA JF
KARIBU VUTHANGI..
haya BADO MMOJA ahsante naheshimu maoni yako mkuu
wabeja kulumba nkoiAVACHE, TUHUNDUKE
Hata mimi mkuu.Kwa kweli mimi ntakumiss sana yaan
Safar njema
Ni huvo ndima ja ithanga
Ni huvo ndima ja ithanga
Ndio mimi ni MPAREwa nyumbani