Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kavee>>>>Kikore Mbare ihi yethina network??
AHA NIHO VUTHANGI MIRA NIIPATA JF
KARIBU VUTHANGI..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kavee>>>>Kikore Mbare ihi yethina network??
AHA NIHO VUTHANGI MIRA NIIPATA JF
KARIBU VUTHANGI..
Iyeee..... Ja hakokavee
hai, ethi uko kaa hetu vwathu! ni kunu Mwanza ha vasukuma kikore Mzee
nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi
Uje na somo utakalo jifunza huko kijijini yaani fursa na changamoto za huko.
wawhunduka eeeh?Nawasalimu wote humu JF kwa kuzingatia utukufu wa aliyejuu.
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimetoka vijijini nilipokuwa na sasa niko hapa Mwanza town.
Katika safari yangu huko vijijini niliona, kusikia na kushiriki mambo mengi,lakini kuna hili ambalo ninaomba niwashirikishe.
Issue yenyewe ni kwamba nilikuta mtoto wa kiume yuko darasa la nne anaitwa jina ambalo kusema kweli halina "ladha" kulitamka mdomoni. Baada ya kusikia jina hilo ilibidi nimuulize mama wa mtoto huyo ilikuwaje hadi kumuita mwanae jina ambalo halinogi?
Ni kwamba, mtoto huyo anaitwa NYEGE, historia ya kupewa jina hilo kwa maelezo ya mama yake ni kwamba mtoto NYEGE alipozaliwa alipewa jina lingine lakini akawa analia sana usiku na mchana hapo ndipo ilibidi wazazi wake waende kwa "WATAALAMU" na huko iligundulika kuwa mtoto huyo analilia jina la mzee ambaye ni marehemu katika ukoo huo alikuwa anaitwa NYEGE na kwamba kama wanataka kunusuru maisha ya mtoto huyo basi waache kumuita lile jina la awali walilokuwa wamempa na rasmi mtoto huyo aitwe jina na babu yake marehemu mzee NYEGE. Mama alizidi kunieleza kuwa baada kuzingatia ushauri wa MTAALAMU wa kumpa mtoto jina la NYEGE basi mtoto siku hiyo hiyo aliacha kulia, akawa buheri wa afya hadi mie nilivyomuona yuko darasa la nne, na kwamba shuleni imebidi aandikwe jina hilo hilo.
mmmmmh! mambo ya mila hayo! sikujua kama mtoto anaweza kulilia jina la marehemu mababu na mababu.
Mshana jr, unasemaje kwenye hili na wataalamu wengine wa masuala ya kijamii naombeni uzoefu wenu
Iyee yo niho ofisiniwawhunduka eeeh?