Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Haya bana sikuwezi.
Anhaa…kumbe ulikuwa unaleta battle…!?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bana sikuwezi.
Mkuu una haki ya kutafuta pa kujifariji. Niishie hapo utang'amua mwenyewe kama unajifariji kwa kujiunga na Yanga baaada Simba kuwa mbovu, ama unajifariji kwa kujiongepea Mayele ni galasa ili kupunguza hasira za washambuliaji wako kushinda kutupia goli, ama kujifariji kuwa Yanga ni moto wa mabua watakata upepo. Nakuelewa mkuu kwa wakati huu lazima utafute namna ya kujifariji ili kuongeza siku za kuishi usijepata sonono na kuchukua maamuzi magumu.
Ukisikia kuweweseka ndiyo huku sasa!!Kiujumla wanautopolo wote tunajifariji na huu moto wa mabua na hizi blah blah za msukule na jsiem… kinachotubeba na kutusaidia muda si mrefu kitayeyuka!
Huyo mayele narudia, ni galasa! Bora hata Sarpong muda si mrefu tutaanza kumkataa!
Kwani yule Molinga si alianza na moto wake wa mabua tukamsifia weee… mwisho wa siku tukaishia kumrushia mikojo!
Kiufupi utopolo yetu ni urojo urojo uliooza lakini juu ukafunikwa na mchuzi wa dagaa!
Ukisikia kuweweseka ndiyo huku sasa!!
Wewe ni kolokolo uliyejificha kwenye kivuli Cha Yanga.Mtapata tabu sana malengo ni kubeba ubingwa msimu kwa msimuNakazia hayo yaliyosemwa... huyo Mayele ni galasa na huyo Chico hakuna cha muda wala nini, ni kapi tu hilo!
Wale mataptap tuliokwenda kuwabeba juu juu airport si tulidai ni muda lakini kilichotokea ni nini?
Kiufupi timu yetu inapata matokeo yasiyo na uhalisia, bahati na media ndio zinatubeba tu!
Hivi tulivyocheza na mbao kama timu ingekuwa nzuri tungepata goli moja tu..!?
Tulishinda ile mechi kibahati tu, kwenye ligi mzunguko wa pili lazima tutafute mchawi!
Wewe ni kolokolo uliyejificha kwenye kivuli Cha Yanga.Mtapata tabu sana malengo ni kubeba ubingwa msimu kwa msimu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mpe zake huyo usimchekee.Wewe ni kolokolo uliyejificha kwenye kivuli Cha Yanga.Mtapata tabu sana malengo ni kubeba ubingwa msimu kwa msimu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app