Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi


Kiujumla wanautopolo wote tunajifariji na huu moto wa mabua na hizi blah blah za msukule na jsiem… kinachotubeba na kutusaidia muda si mrefu kitayeyuka!
Huyo mayele narudia, ni galasa! Bora hata Sarpong muda si mrefu tutaanza kumkataa!
Kwani yule Molinga si alianza na moto wake wa mabua tukamsifia weee… mwisho wa siku tukaishia kumrushia mikojo!
Kiufupi utopolo yetu ni urojo urojo uliooza lakini juu ukafunikwa na mchuzi wa dagaa!
 
Ukisikia kuweweseka ndiyo huku sasa!!
 
Wewe ni kolokolo uliyejificha kwenye kivuli Cha Yanga.Mtapata tabu sana malengo ni kubeba ubingwa msimu kwa msimu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni kolokolo uliyejificha kwenye kivuli Cha Yanga.Mtapata tabu sana malengo ni kubeba ubingwa msimu kwa msimu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app

Kolokolo ni nini? Ndio utopolo bila shaka siyo?
Utopolo (yanga) mwenzangu, jitambue tunadanganywa na msukule tu! Litimu letu ni la hovyo sana, linatupa furaha ya moto wa mabua tu!

Halafu mwanautopolo unatia aibu na hilo litecno lako la zamani za ponsyo pilato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…