Me nshawah enda kwa mtu akasema msiondoke me nikaondk jioni nimerud kamnunulia mmoja soda me hata, na sikumchukia na sikuwaambia wazee wangu kuhusu hilo....Yeap .. inabidi kusamehe na kujisamehe then una move on
Hii ni hatari sana mdauEmotional scar
Wazazi wengi Bongo wanadhuru watoto wao kwa kutokuwajali kihisia "emotional neglect" yaani mtoto analia yeye anachukuliwa kawaida. Au kutosikiliza nini mtoto anataka bali kufanya kile yeye mzazi anataka.
Hiyo tupo wengi sana.Mimi ni victim wa hiyo namba mbili hayo mengine nayasikia tu kwa wengine, lakini kwangu hiyo trauma inategemea na hali yangu ya kiuchumi nikiwa sina pesa ndio huwa nakuwa na stress kiasi, ila nikiwa nazo yani nasahau shida zote nakuwa na furaha na binafsi nimejifunza kutafuta furaha kwenye mambo mengine yasiyohusisha ulazima wa kuwa karibu na watu
Unasikia mzazi anamwambia mtoto "mwonee Kubwa jinga" dah!.. kwa wenzetu kama U.S u unasikia mtoto kaua mtoto mwenzake au kampiga visu mwalimu wake na kumuua. Ni hii mambo ya BullyingTZ watu wengi hasa wazazi huwasababishia sana watoto matatizo ya kisaikolojia, unakuta mzazi anamwambia mtoto huna akili wewe, wewe mbona kama chizi nk, yakijirudia haya mara Kwa mara basi lazima mtoto ataathirika, hii hupelekea chuki, kutokujiamini na kujiingiza kwenye tabia mbaya. Inahitaji juhudi kujitoa kwenye matatizo ya aina hii.
Wako watu wanatoa msaada na wanakaa Sawa. Mimi ni mmoja wapo, nime heal na nilipata msaada. So, ni kweli mambo haya yapo na si mazuri lakini usiseme kuwa huwezi kupona au kuwa sawa. Hapo utakuwa unapigilia msumari mtu asitafute msaada hata ukiwa mdogoEven psychologists suffer from their own psychological problems.