mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
- Thread starter
- #21
NimekuelewaWako watu wanatoa msaada na wanakaa Sawa. Mimi ni mmoja wapo, nime heal na nilipata msaada. So, ni kweli mambo haya yapo na si mazuri lakini usiseme kuwa huwezi kupona au kuwa sawa. Hapo utakuwa unapigilia msumari mtu asitafute msaada hata ukiwa mdogo