Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa.

Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.

Chile joins developing nations rallying behind genocide case against Israel at international court
 
Tunajua chile ni taifa lenye wapalestina wengi na neno la kuua wanawake na watoto ni propaganda ya wapalestina kutafuta huruma ya dunia kwani wanaume wanakuaga wapi
 
Tunajua chile ni taifa lenye wapalestina wengi na neno la kuua wanawake na watoto ni propaganda ya wapalestina kutafuta huruma ya dunia kwani wanaume wanakuaga wapi
99% ya wapalestina walioko Chile ni wakristo. Chile ina wapalestina karibu laki 5 ila 99% ni wakristo.

View: https://x.com/AP/status/1797102164004761744?s=19
Kwa maana nyingine ni kwamba hawa watu wanajali utaifa wao pamoja na kwamba wanaouwawa ni waislamu.

Kitendo kama hicho hakiwezi kufanywa na waislamu. Waislamu hata kama mkiwa ndugu wa damu, ukiuwawa ni sawa tu as long as wewe sio mfuasi wa Mohamed na muumini wa Allah. Mfano angalia Waislamu wa Sudan waliamua kuwaua wakristo kwenye jimbo la Darfur kwa sababu tu sio waislamu hata kama ni ndugu zao tumbo moja.

Although I am not a religious person ila ukristo unafundisha ubinadamu, humanity. Yesu kristo aliifundisha ile tunayoita golden rule, mfanyie mwenzio kile unachopenda ufanyiwe. Uislamu una advocate ugaidi, killing non Muslims.
 
Kipigo kiko pale pale hadi muachie watoto wa Wayahudi....
 
Mtu au nchi yeyote inayotoa tamko la kuisema Israel kwa kutumia propaganda za Ki Allah Allah 100% anakuwa mpuuzi fulani... Hapo anasingizia Watoto ambao wapo hai hapo Gaza na kina mama ambao pia wapo hai... yaani anasimama anaongea povu linamtoka kwa uzushi unaoenezwa na Muslims? and then hajui kama Victims ni nani na anafanya jitihada binafsi japo zina cost sana haswa kwa wajiinga wajinga madomo kaya yanayojua kupayuka tu... Achieni Mateka wasio na hatia... hakuna nchi inayoweza kubali upuuzi na wala ukaongea kisha uheshimiwe kushawishi nchi inayosumbuliwa miaka mingi kwa huruma zake tokea miaka ile bina huruma kusingekuwa na Arabs ndani ya Israel.

Watoto wamama ni uzushi wa Hamas na walishashitukiwwa kitambo sana vita zilizopita ndio maana wanapigwa tu.. tokea walipoanza kusema watoto na kina mama wanauwawa bila magaidi kufa basi gaza ingekuwa imeisha... watu..

Na upuuzi wa kusema Genocide ni sawa na kuenda shule bila kuelimika... Genocide wamefanya Hamas na arabs, Medina ilikuwa ni mji wa Wayahudi now ni zero jews all walidedishwa,Syria hub ya Jews no more jews jambia tu, Lebanonm Egypt onlly few remained there akiwepo Al sisi Raisi
 
Back
Top Bottom