The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Tunajua chile ni taifa lenye wapalestina wengi na neno la kuua wanawake na watoto ni propaganda ya wapalestina kutafuta huruma ya dunia kwani wanaume wanakuaga wapiNchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa.
Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Chile joins developing nations rallying behind genocide case against Israel at international court
99% ya wapalestina walioko Chile ni wakristo. Chile ina wapalestina karibu laki 5 ila 99% ni wakristo.Tunajua chile ni taifa lenye wapalestina wengi na neno la kuua wanawake na watoto ni propaganda ya wapalestina kutafuta huruma ya dunia kwani wanaume wanakuaga wapi