Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala.
Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva huwa wanabadilishana kuendesha au mmoja ndio ananyoosha masaa yote hayo toka Usukuma mpaka Mbeya?
Hizi gari za usiku kuna usimamizi wa kutosha kama mchana, Na kama hakuna usimamizi kwa nini zinaruhusiwa kutembea muda huo ilhali wasimamizi wamelala?
---
Basi la kampuni ya Isamilo Express linalofanya safari kati ya Mwanza••Mbeya limepata ajali alfajiri ya leo likiwa linaelekea Mbeya.
Ajali imetokea eneo la kati ya Chimala na Igulusi. Taarifa zaidi tunasubiri kutoka Vyombo husika vya usalama. Pole kwa Abiria na kampuni.