Chimbo za gest za bei nafuu

Sasa hao wakali Ndiyo type zangu nmewatafuna sanaaaa hata huyu ni mkali kinooomaa Ngoja nikamnyooshe blalifuu Zake
Ongera sana mkuu uko njema
 
Reactions: wax
Nipe namba yake mkuu,nimshauri arudi
 
Ila zpo nyng standard ni 15/20
Hapo utapata Moronga, halflondon,papaya,two ways lodge, masai executive
 
Baba Zero IQ unawatia wenzako utamu wakauwe msingi, wewe wa kwako umezui. hahahaha mgese kweli wewe
 
sema kuna siku nitakuja kukutembelea hapo panapo majaliwa, ila mimi Lodge za chini noo, Uyole nilisalimika kifo mkuu, Guest ilivamiwa na majambazi wapangaji wenzangu walichapwa sana sana. Tokea siku hio mimi ni kuanzia gorofa ya tatu kwenda juu. Nafanya booking siku tatu kabla.
 
Sawa mkuu pamoja sana sema wewe si huwa unalala sie tunaenda kupiga game na kusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…