Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
50k je K inawakilisha nini?
Mkuu hii Msisimko Guest ya Makumbusho ipo kwa upande gani?Makumbusho nenda Msisimko Guest, Kama upo mawasiliano sogea mpaka Kituo cha Mlimani city ule upande wa Sinza A nyuma ya 5N kuna hayo machimbo ya bei poa.
"Safety First,Enjoy at your own risk"
DuhWakuu kwema??
Kuna chimbo gani zuri maeneo ya karibu na stendi ya makumbusho au mawasiliano kwa bajeti ya Tsh 15,000.
😂😂😂Kama vipi nikuachie geto langu...uniachie hiyo hela..
#MaendeleoHayanaChama.
nenda kwenye google map wacheki Meckabam hutajutia enjoy your weekendWakuu kwema??
Kuna chimbo gani zuri maeneo ya karibu na stendi ya makumbusho au mawasiliano kwa bajeti ya Tsh 15,000.
Asante ngoja niwacheki mkuu.nenda kwenye google map wacheki Meckabam hutajutia enjoy your weekend
😂😂😂😂😂Hapa ndo jf mchanganyiko wa makabila yote na tabia upo hapa
Wacha Mungu
Malaya
Wavuta unga na bangi
Wanasiasa
Matapeli
Polisi
Usalama wa taifa
Viongozi wakubwa serikali ni
Mama ntilie
Cha ajabu sasa hawajuani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi pale rombo green view hadi wamenizoea ha ha ha haHivi wakuu mshawahi kurudia lodge moja na demu huyohuyo.. Alafu muhudumu mnamkuta yuleyule..?
Binafsi sipendelei kurudia lodge, nataka nikienda mara moja inatosha natafuta chimbo lingine
Mi pale rombo green view hadi wamenizoea ha ha ha ha
Mbn kawaida jpo ikifululiza sasa lzm ujishtukie sio siri na aibu juuHivi wakuu mshawahi kurudia lodge moja na demu huyohuyo.. Alafu muhudumu mnamkuta yuleyule..?
Binafsi sipendelei kurudia lodge, nataka nikienda mara moja inatosha natafuta chimbo lingine
Chimbo za manzese na magomeni.. naomba connections mkuu.Makumbusho nenda Msisimko Guest, Kama upo mawasiliano sogea mpaka Kituo cha Mlimani city ule upande wa Sinza A nyuma ya 5N kuna hayo machimbo ya bei poa.
"Safety First,Enjoy at your own risk"
Tanzania One ndo zamani ilikuwa ikiitwa Tanzania guest? Si ipo uhindini hii?Kuna chimbo hapo dodoma kati panaitwa tanzania one room bei chee tu japo ni katikati ya mji ni 5K unapata unapiga chap unasepa.
Magomeni ipi unataka, mie kuna chimbo liko Migomigo Kagera...unaingia na ile njia inayoanzia oilcom sheli inayotokea Popobawa.Chimbo za manzese na magomeni.. naomba connections mkuu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hili mi nalifanya mara kibao tena huwa room yangu ni ile ile inajulikanagaHivi wakuu mshawahi kurudia lodge moja na demu huyohuyo.. Alafu muhudumu mnamkuta yuleyule..?
Binafsi sipendelei kurudia lodge, nataka nikienda mara moja inatosha natafuta chimbo lingine
Magomeni kuanzia usalama kuja manzese..chimbo za kishikaji tu 15k 20k.Magomeni ipi unataka, mie kuna chimbo liko Migomigo Kagera...unaingia na ile njia inayoanzia oilcom sheli inayotokea Popobawa.
Kabla ya kufika Popobawa katikati ya ile njia kuna kibao kidogo kiko kulia pembeni mwa barabara kimeandikwa The Don's Lodge ukikifata umefika.
Full AC kwa 20K tu!
Nyie kaeni nje tutawaita..ila kama unataka kuingi lodge au guest karibu utapata mwongozo.Na tusiowahi kuingia Lodge au guest tuna comment wapi?