Chimbo za gest za bei nafuu

Chimbo za gest za bei nafuu

Makumbusho nenda Msisimko Guest, Kama upo mawasiliano sogea mpaka Kituo cha Mlimani city ule upande wa Sinza A nyuma ya 5N kuna hayo machimbo ya bei poa.

"Safety First,Enjoy at your own risk"
Mkuu hii Msisimko Guest ya Makumbusho ipo kwa upande gani?
 
Hapa ndo jf mchanganyiko wa makabila yote na tabia upo hapa
Wacha Mungu
Malaya
Wavuta unga na bangi
Wanasiasa
Matapeli
Polisi
Usalama wa taifa
Viongozi wakubwa serikali ni
Mama ntilie
Cha ajabu sasa hawajuani [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂
 
Hivi wakuu mshawahi kurudia lodge moja na demu huyohuyo.. Alafu muhudumu mnamkuta yuleyule..?
Binafsi sipendelei kurudia lodge, nataka nikienda mara moja inatosha natafuta chimbo lingine
 
Hivi wakuu mshawahi kurudia lodge moja na demu huyohuyo.. Alafu muhudumu mnamkuta yuleyule..?
Binafsi sipendelei kurudia lodge, nataka nikienda mara moja inatosha natafuta chimbo lingine
Mbn kawaida jpo ikifululiza sasa lzm ujishtukie sio siri na aibu juu
 
Kuna chimbo hapo dodoma kati panaitwa tanzania one room bei chee tu japo ni katikati ya mji ni 5K unapata unapiga chap unasepa.
Tanzania One ndo zamani ilikuwa ikiitwa Tanzania guest? Si ipo uhindini hii?

Uzi Wa 2018, mi nauliza swali Leo 2021
Kazi ipo,ukute hata mleta mada is no more.
 
Chimbo za manzese na magomeni.. naomba connections mkuu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Magomeni ipi unataka, mie kuna chimbo liko Migomigo Kagera...unaingia na ile njia inayoanzia oilcom sheli inayotokea Popobawa.

Kabla ya kufika Popobawa katikati ya ile njia kuna kibao kidogo kiko kulia pembeni mwa barabara kimeandikwa The Don's Lodge ukikifata umefika.

Full AC kwa 20K tu!
 
Magomeni kuanzia usalama kuja manzese..chimbo za kishikaji tu 15k 20k.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Na tusiowahi kuingia Lodge au guest tuna comment wapi?
 
Back
Top Bottom