Chimbo za gest za bei nafuu

Chimbo za gest za bei nafuu

Kidia hotel iko bomba sana, chumba ilikuaga 25 tu af bonge la mkitanda, asubuh breakfast ya nguvu. Nilitafunaga dem flan lililohatarisha ndoa yangu, sa hv nilishaachana nako nimetulia na ubavu wangu nlokabidhiwa kwny altare takatifu
 
Sasa hao wakali Ndiyo type zangu nmewatafuna sanaaaa hata huyu ni mkali kinooomaa Ngoja nikamnyooshe blalifuu Zake
Mbona Dom mnapakuza sana?
Dom huwa sioni viwanja vzr japo mimi siyo mtu wa totoz!
 
Kito ipo maeneo ya mlezi hazina kule kama unaenda usalama,
Kuna balaa napo usiku mpaka waheshimiwa wanapark v8 wanabadili namba...ila wahudumu wao ni watoto wakali balaa
 
Back
Top Bottom