Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

Chimbuko la Amani na utulivu ni Uzezeta wa Watanzania.
gentleman,
ni kosa la kimaadili kuwahadaa na kuwabeza wa Tanzania namna hiyo.

vipo vyama vya siasa mpaka leo wanajuta na kuteseka na dhihaka kama hizo huku field.

wagombea wao katika chaguzi huonekana kama wezi au misukule tu wakijaga field kwa wananchi. Acha kujizolea laana ambazo si LazimaπŸ’
 
Macho, masikio na akili zako una uhakika vinafanya kazi yake sawa sawa?.
mihemko na makasiriko dhidi ya ukweli ni utumwa mbaya sana aise tena wa kiwango cha kishirikina.

hata hivyo,
amani na umoja wa waTanzania ulalindwa kwa gharama na nguvu zote chini ya utawala wa serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Hakuna hata amani kuna utulivu pekee watu wanatekwa kila mara
umendee mke wa wenyewe kisirisiri, halafu unyakwe na wenyewe, halafu uje kumbwelambwela hapa eti ng'weee ng'weee ng'weee,

kumbafu sana, alaaa !πŸ’
 
Ulaaniwe wewe na uzao wako wote
kwa Neema na Baraka za Mungu tutaendelea kueleza ukweli kila tunapopata nafasi, licha ya upinzani dhaifu dhidi ya ukweli huo.

zaidi sana tutaendelea kuwaombea wapinzani waliopoteza uelekeo na ambao hawaelewani nchini, ili wawe kitu kimoja.

hata hivyo,
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwekeza katika Amani na Utulivu wa waTanzania, ili hatimae wananchi wote waweze kufanya kazi na majukumu yao kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa usalama wa uhakika πŸ’
 
Sijui hii nchi kama watu hawapendi kutumia akili zao au hawana akili kabisa?!
 
Nimekuuliza swali ni bora ujibu swali kabla ya judgement ya kukwepa uhalisia.
Narudia una uhakika macho, masikio na akili zako vinafanya kazi sawa sawa?. Hayo ya mihemko na asira sijui nini ni kuprove uwezo wako ulivyo.
 
Kwahiyo utekaji wenu usio wa drama ni ule uliochukua Maisha ya Mzee Kibao? Kwamba na yeye ilikua drama
Narudia kusema tena acheni kutengeneza Matukio kwa lengo la kuleta taharuki na kuchafua Taswira nzuri ya Nchi yetu. Halafu zote ulizokuwa umenitag jana na juzi nilikuwa nimeziona ila nakuwa nimetingwa na mambo ya shambani .kwa hiyo nakosa muda mzuri wa kutulia na kujibu kwa utulivu.Si unajuwa sisi wakulima ndio muda wetu wakulima huu ili huko mjini mpate chakula na msije kufa kwa njaa kwenye vibaraza vya majirani mnakoshinda mnapiga umbeyaπŸ˜€πŸ˜€.
 
Kwahiyo utekaji wenu usio wa drama ni ule uliochukua Maisha ya Mzee Kibao? Kwamba na yeye ilikua drama
epuka tamaa, dhuluma na kiburi..

chairman wenu alishaga onya,
usithubutu kuonja sumu kwa ulimi hamsikii. haya, endeleeni kuchezea sharubu zake mtasingizia kila kitu mpaka vishe nanyi muishe πŸ’
 
Kweli?
 
Kijana kama wewe unamchango mdogo sana taifani.
 
Nimekuuliza swali ni bora ujibu swali kabla ya judgement ya kukwepa uhalisia.
Narudia una uhakika macho, masikio na akili zako vinafanya kazi sawa sawa?. Hayo ya mihemko na asira sijui nini ni kuprove uwezo wako ulivyo.
uchaguzi wa kihistoria wa serikali za mitaa na ushindi wa kishindo kwa CCM ni ishara wazi kwamba,

CCM ni imara na dhamira yake katika kuiongoza Tanzania ni njema na wanainchi wote wanaimani na CCM pekee na si vinginevyo.

Na kwa hakika CCM imara imejipanga vizuri sana kwenye hilo πŸ’
 
Unaweza jibu swali langu na kuweka vioja pembeni?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…