Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uimara au ujambazi? Tanzania hatuna amaniUimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.
Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.
Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.
Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.
Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Nathani ni ukimya wa watanzania na uvumilivu wao. Siku watanzania wakichoka na mambo ya ovyo yanayoendelea hata hayo mnaiba mtayakimbia na kuyaacha. Wewe bwabwaja tu hapo ukidhani haya yataendelea milele.Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.
Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.
Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.
Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.
Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Nazungumzia amani katika ujumla wake.Nafikiria swala la amani ni jambo la kihistoria zaidi.kama Kila siku watu wanatekwa ni amani ipi unayoizungumzia mkuu?
wewe pekee ndio huna amani kwasabb vikoba na kausha damu wanakudai mikopo Kibao ulokopa.Uimara au ujambazi? Tanzania hatuna amani
mkimya ni wewe pekee yako gentleman.Nathani ni ukimya wa watanzania na uvumilivu wao. Siku watanzania wakichoka na mambo ya ovyo yanayoendelea hata hayo mnaiba mtayakimbia na kuyaacha. Wewe bwabwaja tu hapo ukidhani haya yataendelea milele.
UWT hamnaga akili nyieumendee mke wa wenyewe kisirisiri, halafu unyakwe na wenyewe, halafu uje kumbwelambwela hapa eti ng'weee ng'weee ng'weee,
kumbafu sana, alaaa !🐒
Jinga sn wewekwa Neema na Baraka za Mungu tutaendelea kueleza ukweli kila tunapopata nafasi, licha ya upinzani dhaifu dhidi ya ukweli huo.
zaidi sana tutaendelea kuwaombea wapinzani waliopoteza uelekeo na ambao hawaelewani nchini, ili wawe kitu kimoja.
hata hivyo,
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwekeza katika Amani na Utulivu wa waTanzania, ili hatimae wananchi wote waweze kufanya kazi na majukumu yao kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa usalama wa uhakika 🐒
Shetani wewe unaua kizazi chako sababu ya tamaa, wewe kuongozwa na mzanzibar inakusaidia nini? nenda kule kama utakuwa hata Mwenyekiti wa mtaa. Shituka mjinga wewesasa wewe mjanja na huna pwainti halafu una mbwelambwela tu humu jukwaani, dah!![]()
UWT mmeambiwa mjiunge kwenye vikundi mikopo inaanza kutoka January mlifanya kazi kubwa sn kwenye kampeni za SMsasa wewe mama Ima,
na BAWACHA kwa ujumla, mna akili kweli zaidi ya kuchoma vitenge tu?
nje ya hapo nyinyi ni useles na nonsense kabisa aise dah!![]()
yaani ukweli umesababisha upate mawenge dahShetani wewe unaua kizazi chako sababu ya tamaa, wewe kuongozwa na mzanzibar inakusaidia nini? nenda kule kama utakuwa hata Mwenyekiti wa mtaa. Shituka mjinga wewe

Jinga wewe, nenda Zanzibar kama utapewa hata kitambulisho cha mkaziyaani ukweli umesababisha upate mawenge dah
nazungumzia wajibu wa CCM imara kwa mustakabali wa amani kwa waTanzania wote na si vinginevyo,
mimi ni mTanzania kamili,
masuala ya kibaguzi muyafanye huko huko kwenye chama chenu chenye uhasama na migawanyiko sijui ya kikaskazini na wapi huko.
Serikali sikivu ya ccm inawajibika kulinda na kudumisha amani na utulivu wa waTanzania wote na sio huo ushirikina uanpojaribu kuuleta hapa![]()
TrashUimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania.
Kukubalika na kuaminika kwa sera na mipango mikakati yake ya maendeleo, kumewaunganisha waTanzania, kuwaleta pamoja na kua kitu kimoja.
Ama kwa hakika bila CCM madhubuti, nchi itayumba.
Nia na dhamira njema za viongozi waandamizi wa chama na serikali, hasa kiongozi mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassan, vimeendelea kuliunganisha taifa, kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kuifanya Tanzania madhubuti zaidi, inayoaminika na kuheshimika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kiwango cha juu sana.
Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, ni muhimu sana wananchi wote, kufahamu na kuelewa kwamba, ushindi wa kishindo wa CCM, ni ushindi wa wananchi na waTanzania wote, dhidi ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wenye nia ovu binafsi za kutugawanya kwa maslahi yao binafsi.
Kama Taifa inafaa kuungana,
na tuendelee kuiamini CCM na kuipa nafasi zaidi ya kuongoza, ili hatimae tuendelee kufurahia matunda ya dhamira na nia njema ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuulinda umoja wetu, na kwa gharama yoyote ile kuitunza amani na utangamano miongoni mwa waTanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
BAWACHA mnakaa kama kamati kuu wiki nzima, na mnakuja kutoka na uamuzi wa kuchoma vitenge tu.UWT mmeambiwa mjiunge kwenye vikundi mikopo inaanza kutoka January mlifanya kazi kubwa sn kwenye kampeni za SM

UWT sahivi mnalipa madeni bila kudaiwa asee naona maza alimwaga pesa haswaBAWACHA mnakaa kama kamati kuu wiki nzima, na mnakuja kutoka na uamuzi wa kuchoma vitenge tu.
hivi mna akili kweli mama Ima na wenzako?
wiki nzima mnajadili kuchoma vitenge kweli?![]()
niende zanzibar halafu wananchi hapa jimboni nimuachie nani?Jinga wewe, nenda Zanzibar kama utapewa hata kitambulisho cha mkazi

Kijana umtoe wapi wewe shetani?niende zanzibar halafu wananchi hapa jimboni nimuachie nani?
zanzibar nakwenda kutembelea ndugu jamaa na marafiki zangu,
hata hivyo kijana wangu ni mkazi wa huko na huku jimboni ana mji wake pia![]()