Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

UWT sahivi mnalipa madeni bila kudaiwa asee naona maza alimwaga pesa haswa
baada ya kuchoma vitenge,
inafahamika BAWACHA mnapitia ukata wa kiwango kibaya zaidi wa fedha, na hiyo ni matokeo ya laana na kufuru mliyoichota kwenye kuchoma vitenge hadharani,

halafu mmejikuta viongozi wote hamna kazi za maanada dah!
mtadanga sana mama Ima
 
Sawa CHAWA, kapokee mgao wako.
 
Unashinda kwa uongo? Unajua kinachoendelea msumbiji muda huu?
Wewe endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Unashinda kwa uongo? Unajua kinachoendelea msumbiji muda huu?
Wewe endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
kua muungwana gentleman,
unaenjoy amani kwa gharama ya CCM.

Msumbiji hali ni shwari kwa sasa, baada ya ccm kuingilia kati na kuwaweka sawa wenye tofauti zao kisiasa.

hakuna gumu kwa ccm hasa kuhusu amani
 
kua muungwana gentleman,
unaenjoy amani kwa gharama ya CCM.

Msumbiji hali ni shwari kwa sasa, baada ya ccm kuingilia kati na kuwaweka sawa wenye tofauti zao kisiasa.

hakuna gumu kwa ccm hasa kuhusu amani
Fuatilia kinachoendelea huko acha kuropoka kama chizi aliyeona jalala jipya.
 
Fuatilia kinachoendelea huko acha kuropoka kama chizi aliyeona jalala jipya.
kama chama kimewajibika ipasavyo tayari,
na mengingie ni muhimu kuyahitimisha wenyewe wahusika.

kama taifa na kama serikali sikivu chini ya ccm inawajibu katika kuimarisha amani na utulivu nchini na maeneo mengine duniani
 
Define Amani. Je, amani ni kukaa kimya? Amani ni kunyamaza wakati unayo mengi yanayokutesa moyoni? Amani ni kuishi katika lindi la umasikini bila kuonyeshwa njia sahihi ya kupita? Amani ni unyonge na maradhi? Amani ni ujinga? Kama ndivyo nadhani hata wakoloni walitupa amani, watumwa walibebwa kimya kimya shambani, walifanya kazi kimya kimya, walirejea nyumbani wakapata chakula na kulala kwa amani bila ugomvi na yeyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…