Chimbuko la binadamu

Chimbuko la binadamu

eksielo

Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
17
Reaction score
7
Historia inasema kuwa binadamu wa kwanza alianza kuonekana hapa Tanzania huko Arusha laitoria na kuna nyayo ambazo utafiti unaonesha ni miaka milioni 4 sasa tangu kuwepo kwa binadamu.

Lakini kalenda tuliyonayo kwasasa hesabu yake inasema ni miaka 2000, sasa je hii inakaaje?
 
imekaa vibaya!, imekalia tackle Moja hiyo, haijatulia..Kuhusu calenda achana nayo wewe anza kuhesabu pale tu ulipozaliwa mpaka sasa mengine yatakuzidi kimo mkuu, jali harakati zako achana na Historia, historia ni lwa ajili ya Mind Games
 
imekaa vibaya!, imekalia tackle Moja hiyo, haijatulia..Kuhusu calenda achana nayo wewe anza kuhesabu pale tu ulipozaliwa mpaka sasa mengine yatakuzidi kimo mkuu, jali harakati zako achana na Historia, historia ni lwa ajili ya Mind Games
Naunga mkono hoja alafu inakuwaje nyayo ya miaka iyo iwepo wakati mimi nikikanyaga upepo tu unafuta achana !!! Tofauti na iyo mvua
 
We boya huna akili na umeweka picha ya mwamba la chemia rais wangu bora mwenye msimamo...iko hivi miaka 2000 imeanza kuhesabiwa tangu yesu aje duniani..usinichoshe rudi shule
 
Anno Domini- AD and Before Christ- BC
Ngoja watu wa Kush waje kuweka sawa timeline
 
Historia inasema kuwa binadamu

Uhai wa viumbe ikiwemo binadamu unaelezewa kwa kisayansi na mwana biolojia nguli siri ya uhai kuanzia celli. Swali kwanini binadamu asiwe na macho 3 au miguu minne pia kiumbe ngombe sababu ya kuzaliwa na miguu minne n.k

Nick Lane: Origin of Life, Evolution, Aliens, Biology, and Consciousness | Lex Fridman Podcast# 318

Nick Lane is a biochemist at UCL and author of Transformer, The Vital Question, and many other amazing books on biology, chemistry, and life
Source : Lex Fridman
 
24 December 2022

Scientists working in the Austrian
Alps discover that a glacier is leaking a liquid that appears to be affecting local

Source : Spoiler Lab
 
Back
Top Bottom