Haya Evelyn Salt ukuje kumchukua bwana ako huku....mnyororo umemkabaHahhah kwa Evelyn Salt
Hahhah kwa Evelyn Salt
Hivi mie ni wa Slave au wa Arushaone hadi nshasahauHaya Evelyn Salt ukuje kumchukua bwana ako huku....mnyororo umemkaba
Na Mimi nahitaji mtu wa kujidai nae huku uswaz kwetu awe na uwezo wa kula ugali kwa mlendaHaya Evelyn Salt ukuje kumchukua bwana ako huku....mnyororo umemkaba
Hao wengine.....
Panya road ndo habari ya mjini Joto City nzima...wametisha sana
Hao wengine.....
Panya road ndo habari ya mjini Joto City nzima...wametisha sana
Kuna wale commando yoso nao walibamba enzi zileJina la panya road nimelisikia miaka ya karibuni...zamani niliwafahamu kwa jina la watoto wa mbwa mwitu,.mbagala na tandika enzi hizo
Mpaka hapo Nina changu kweli? Ama kweli mpenzi wa kweli ni PESA tu wengine woote wanyonyaji
Kuna wengine walikuwa wa naitwa Yelusalemu walikuwa pale kigogo festin ndio makao makuuKuna wale commando yoso nao walibamba enzi zile
Na Mimi nahitaji mtu wa kujidai nae huku uswaz kwetu awe na uwezo wa kula ugali kwa mlenda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aisee utoto na mazingira hujenga tabia ya maisha Fulani hiviiKuna wengine walikuwa wa naitwa Yelusalemu walikuwa pale kigogo festin ndio makao makuu
Ndo unikimbushe shemeji ako ni yupi au Baba V
Liverpool ya pale matejoo au Liverpool ya mbeleKweli umezeeka
Baba V mzee mie nimpeleke wapi?
Hukumbuki kama ulininyang'anya Ben Saanane?
Arushaone e nasikia kaenda kuwa meneja wa Liverpool team
Ndio maana nikakuita uje nilikumbuka sana vituko vyakoAliyekwambia mlenda ni mboga nani.
Mlenda ni usafiri wa kulisukumia tonge kooni..hata tonge liwe na ukubwa kama Tofali, mbele ya mlenda salutiii
Unaonekana wa kishua...Aliyekwambia mlenda ni mboga nani.
Mlenda ni usafiri wa kulisukumia tonge kooni..hata tonge liwe na ukubwa kama Tofali, mbele ya mlenda salutiii
Shemeji yako Ben yupo, majukumu yamembana, si unajua sa hivi kakabidhiwa kitengo nyeti na mkulu?Liverpool ya pale matejoo au Liverpool ya mbele
Hivi shemeji Ben yupo, kitambo sijamuona
Kuna vingine ulivyovikumbuka, usikimbilie ushemeji........Ndio maana nikakuita uje nilikumbuka sana vituko vyako
Mie katika mboga zilizonishinda kula ni mlenda, naona kama nakula makamasi.Unaonekana wa kishua...
Sisi kwetu ugali kwa mlenda,dagaa au matembele ndo mwake...
Njoo bhana upate mahaba
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]