Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

Jina la panya road nimelisikia miaka ya karibuni...zamani niliwafahamu kwa jina la watoto wa mbwa mwitu,.mbagala na tandika enzi hizo
 
Na Mimi nahitaji mtu wa kujidai nae huku uswaz kwetu awe na uwezo wa kula ugali kwa mlenda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Aliyekwambia mlenda ni mboga nani.
Mlenda ni usafiri wa kulisukumia tonge kooni..hata tonge liwe na ukubwa kama Tofali, mbele ya mlenda salutiii
 
Aliyekwambia mlenda ni mboga nani.
Mlenda ni usafiri wa kulisukumia tonge kooni..hata tonge liwe na ukubwa kama Tofali, mbele ya mlenda salutiii
Ndio maana nikakuita uje nilikumbuka sana vituko vyako
 
Aliyekwambia mlenda ni mboga nani.
Mlenda ni usafiri wa kulisukumia tonge kooni..hata tonge liwe na ukubwa kama Tofali, mbele ya mlenda salutiii
Unaonekana wa kishua...
Sisi kwetu ugali kwa mlenda,dagaa au matembele ndo mwake...
Njoo bhana upate mahaba
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Unaonekana wa kishua...
Sisi kwetu ugali kwa mlenda,dagaa au matembele ndo mwake...
Njoo bhana upate mahaba
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mie katika mboga zilizonishinda kula ni mlenda, naona kama nakula makamasi.
Ila tembele na dagaa mwake, tamu sana.

Unafikiri mie wa kishua?...muulize Shark , nina ratiba ya vigodoro vyooote Dar mpaka akina Big'n chali, unawajua hawa?
 
Back
Top Bottom