Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

Kinachonifurahisha siku kinapokuwepo kigodoro mtaani kwetu, ukisahau sufuria, ndoo, nguo au chochote nje ya nyumba ujue hukipati. Jamaa wanapekua kila kona ya nje ya nyumba. Wanachokutana nacho saizi yao. Asubuhi kila mtu analalama nimeibiwa hiki yule nimeibiwa kile. Ila issue zooote za wizi hakuna kwenda polisi posti, unatulia kimya!
 
Ndo ujirani mwema....
 
Chumvi hamuombani, sisi kwetu raha saaana, wakipika wali na nyama inabidi mlinde kivaranda mkijitusu makasau, wajomba wanabeba sufuria na chakula
Mkuu unanivunja mbavu...halafu kuna paka sijui huwa wanatumwa,kuna siku nimetoka kupiga misele nikakuta homu kuna ndizi + samaki halafu kwetu ni nadra sn huu mnuso...sasa kuweka kibarazani ili ninawe si paka kajisevia yaan dk 1 tu dadeki..hadi leo namtAfuta nimnyonge
 
Daaah,,,huko ndo kunakoliwa Ugal na mateke ya kwio kwio,,!!!!!!!!
 
Halafu mipaka yenyewe myeusiiii, ukimfukuza anakutolea macho kwanza
 
Ina maana mimi nakaa kwa mtogole naishi uswahilini? Mleta uzi nitake radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…