KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Kinachonifurahisha siku kinapokuwepo kigodoro mtaani kwetu, ukisahau sufuria, ndoo, nguo au chochote nje ya nyumba ujue hukipati. Jamaa wanapekua kila kona ya nje ya nyumba. Wanachokutana nacho saizi yao. Asubuhi kila mtu analalama nimeibiwa hiki yule nimeibiwa kile. Ila issue zooote za wizi hakuna kwenda polisi posti, unatulia kimya!