Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Kama hujui square root ya 2 unaweza kusema kwamba square root ya 2 si 10?

Logical non sequitur.
Kilanga huaga unanichanganya kidogo, ni kwamba wewe huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini katika mungu wa Quaran na Biblia? Hebu nifafanulie kidogo na mimi nielewe.
 
Kunyenyekea kwake na kutii.
Kumbe rastafarians nao ni waislamu sio? Maana na wenyewe ni watii na wanyenyekevu sa,a. Again, hivi magaidi wengi si ni waislamu? Wale nao ni watii na wanyenyekevu kweli? Nitajie eneo lolote la hi dunia ambalo lina waislamu wengi au hata nchi za kiislamu ambazo hazina malalamiko, je huo ni unyenyekevu? "Muislam" Adam aliyekula tunda unasemaje kama alikua mtii? By the way story ya Adamu huweizi kuipata vizuri zaidi kuliko Biblia, Quran imedokeza tu haina details za Adamu so bado useme kwamba Adamu alikua muislamu? Tusidanganyane, uislamu ni wa Muhamad na sio wa enzi nz enzi, umekuja juzi
 
Kilanga huaga unanichanganya kidogo, ni kwamba wewe huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini katika mungu wa Quaran na Biblia? Hebu nifafanulie kidogo na mimi nielewe.

Jina ni Kiranga, si Kilanga.

Kwa kuanzia, mimi sitakibkuamini, nataka kujua. Kwa muktadha mzuri.

Pia, kwa hivyo, na kwa kufuata mantiki, siamini katika Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote.

Zaidi, si Mungu tu, sikubaliani na hqbqri zote za supernatural. Kama uchawi, majini, malaika, astrology, na mengine kama hayo.

Kwa hivyo, ukifuata habari hizi, utaona kuwa si Mungu wa Biblia na Quran tu ambaye simkubali.

Pia simkubali Mungu wa Bhagavad Gita, wa Torah, Talmud, Upanishads, Egyptian Book of The Dead, Tibetan Book of The Dead, Vedas, Agamas, Tripitaka, Dhammapada, Kojiki, Guru Granth Sahib, Dao De Jing, The Book of Shadows, The Four Valleys, The Seven Valleys, Avesta.

Lakini sioni sababu ya kuzungumzia vingi hivi jwa sababu hapa JF watu wengi wanajua Quran na Biblia zaidi.
 
Kumbe rastafarians nao ni waislamu sio? Maana na wenyewe ni watii na wanyenyekevu sa,a.
Wanyenyekevu kwa nani ?
Again, hivi magaidi wengi si ni waislamu?
Ugaidi ni nini kwanza ?

Ili nijue kwamba ni wengi au la ?!
Wale nao ni watii na wanyenyekevu kweli? Nitajie eneo lolote la hi dunia ambalo lina waislamu wengi au hata nchi za kiislamu ambazo hazina malalamiko, je huo ni unyenyekevu? "
Unanitoa kwenye mada mzee. Jikite kwenye mada. Kisha uwe unasoma hoja na kuielewa kabla ya kuchangia.
Adam aliyekula tunda unasemaje kama alikua mtii?
Kwani mtiifu hakosei ? Ushajiuliza kwanini kuna toba ?

"Kila mwanadamu ni mkoseaji,na mbora wa wakoseaji ni yule mwenye kufanya toba."
By the way story ya Adamu huweizi kuipata vizuri zaidi kuliko Biblia,
Sito kweli,weka historia ya Adamu toka kwenye Biblia kisha nikiwekee ya kwenye Qur'aan uone wapi imeandikwa vizuri na ipi ina jibuaswali ya waulizaji kwa ufasaha na kukinaisha.

Biblia si kitabu kitukufu kwa sababu nyingi sana,kwahiyo ni kosa kubwa sana kuilinganisha na Qur'aan.
Quran imedokeza tu haina details za Adamu so bado useme kwamba Adamu alikua muislamu?
Hujaweka hoja hapa. Niambie wewe Adamu alikuwa na dini gani ?
Tusidanganyane, uislamu ni wa Muhamad na sio wa enzi nz enzi, umekuja juzi
Pinga kwa hoja kijana,au weka andiko toka kwenye Biblia linalo unga mkono hiki unacho kidai.

Huo Ukristo tu wenyewe nabii Issa (Yesu) ameondoka hajauacha.
 
Wanyenyekevu kwa nani ?

Ugaidi ni nini kwanza ?

Ili nijue kwamba ni wengi au la ?!

Unanitoa kwenye mada mzee. Jikite kwenye mada. Kisha uwe unasoma hoja na kuielewa kabla ya kuchangia.

Kwani mtiifu hakosei ? Ushajiuliza kwanini kuna toba ?

"Kila mwanadamu ni mkoseaji,na mbora wa wakoseaji ni yule mwenye kufanya toba."

Sito kweli,weka historia ya Adamu toka kwenye Biblia kisha nikiwekee ya kwenye Qur'aan uone wapi imeandikwa vizuri na ipi ina jibuaswali ya waulizaji kwa ufasaha na kukinaisha.

Biblia si kitabu kitukufu kwa sababu nyingi sana,kwahiyo ni kosa kubwa sana kuilinganisha na Qur'aan.

Hujaweka hoja hapa. Niambie wewe Adamu alikuwa na dini gani ?

Pinga kwa hoja kijana,au weka andiko toka kwenye Biblia linalo unga mkono hiki unacho kidai.

Huo Ukristo tu wenyewe nabii Issa (Yesu) ameondoka hajauacha.
Mwanzoni enzi za kina Adamu hadi Musa hakukua na dini yeyote, hi haina maana kama watu hawakua wanaabudu Mungu, walijiwekea utamaduni wao wa kuabudu. Remember kabla ya Musa hakukua na sheria ilioandikwa but baadhi yao bado Mungu alikua anawatokea na kuongea nao vile atakavyo. Neno Uislam limeanza mwaka 652 BC or you can call, uislamu umeanza baada ya Ukristo kwa zaidi ya miaka 600,umekuja ukiwa ume copy baadhi ya desturi za Kiyahudi na Kikristo na infact mwanzilishi wa uislamu yaelekea alikua na knowledge ya Ukristo so kachanganya desturi za Kiyahudi na Kiarabu na tamaduni za mashariki ya kati then akaifanya kua DINI. Baadhi ya mifano ya desturi za kusali za Kiyahudi ni ile KIBRA kwenye misikiti, ile wametoa kwenye masinagogi ya Wayahudi ambayo ndio hi leo dini inaitwa JUDAISM wao wanaita "PATAKATIFU pa PATAKATIFU" mwanzilishi wa uislamu akaita KIBRA, huo uelekeo wa mashariki pia wametoa kwenye kitabu cha Daniel, wakati Wayahudi wametekwa kwenda Babeli kijana mmoja wa Kiyahudi wakati anaabudu, alikua akiuelekeza USO wake Jerusalem nk nk.
 
Mwanzoni enzi za kina Adamu hadi Musa hakukua na dini yeyote, hi haina maana kama watu hawakua wanaabudu Mungu,
Umejuaje kama hawakuwa na dini na unakiri ya kuwa walijiwekea utaratibu wao wa kuabudu. Huo utaratibu kiistilahi huitwa Dini.

Kama Adamu,hadi Musa walikuwepo walikuwa wanafundisha mafundisho gani na wafuasi wao waliwapataje ?

Ushawahi kusikia kuhusu Uyahudi na chimbuko lao ?
walijiwekea utamaduni wao wa kuabudu.
Hili tamko "utamaduni" umelibabatiza,umeliweka sehemu ambayo si yake. Weka tamko "utaratibu" kwenye tamko "tamaduni".
Remember kabla ya Musa hakukua na sheria ilioandikwa but baadhi yao bado Mungu alikua anawatokea na kuongea nao vile atakavyo.
Torati ilikuwa inafundisha nini ?

Ukiambiwa Sheria ya Musa una elewa nini ? Inabidi uniambie hili tamko "Sheria" unalielewaje ?

Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?

Naendelea ....
 
Umejuaje kama hawakuwa na dini na unakiri ya kuwa walijiwekea utaratibu wao wa kuabudu. Huo utaratibu kiistilahi huitwa Dini.

Kama Adamu,hadi Musa walikuwepo walikuwa wanafundisha mafundisho gani na wafuasi wao waliwapataje ?

Ushawahi kusikia kuhusu Uyahudi na chimbuko lao ?

Hili tamko "utamaduni" umelibabatiza,umeliweka sehemu ambayo si yake. Weka tamko "utaratibu" kwenye tamko "tamaduni".

Torati ilikuwa inafundisha nini ?

Ukiambiwa Sheria ya Musa una elewa nini ? Inabidi uniambie hili tamko "Sheria" unalielewaje ?

Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?

Naendelea ....
Amri kumi za Mungu kwenye Koran nazisoma sura ipi
 
Usiulize swali kabla hujaelewa kilichoandikwa. Hakikisha unaelewa kwanza.

Sasa soma tena kilicho andikwa.
Kijana unataka nielewe risala au
Mubarridi says Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?

Umejuaje kulikua na amri kumi ambazo ni sheria ndio nataka kujua kwenye Koran umezisoma sura ipi
 
Ndiyo maana nimekuuliza umesoma nilicho kiandika ? Rejea tena.
 
Watu wa kabila la Kureshi wa Maka walimwabudu Hubal, Al-ilah na mabinti watatu wa Al- ilah. Mwamba mweusi kutoka mbinguni uliheshimiwa sana uliwekwa kwenye kona ya kaaba. Kaaba ilikuwa ni kitovu cha kuabudia miungu/sanamu 360 kwa mujibu wa Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 43 sura ya 33 na.658 uk. 396 na juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 47 na.583 uk. 406.
 
Unachanganya kuhubiri na kuthibitisha.

Nimekuuliza kuhusu kuthibitisha, si kuhubiri.

Unaweza kuthibitisha Allah yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si kamba za watu tu?

Hujathibitisha hili.
Kwani kuhubiri hakuwezi kuwa ni uthibitisho ?
 
Ndiyo maana nimekuuliza umesoma nilicho kiandika ? Rejea tena.
Nimesoma ulicho andika , na nipo interested na amri kumi, umejuaje kulikuwepo na amri kumi na umesema zile ni sheria , Je waislamu mnazifuata? na kama mnazifuata nazisoma wapi kwenye Koran?
Mubarridi says Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?
Nipo, huwezi ukaongea kitu nikuache tu
 
Bado hujaelewa nilicho kiandika. Unatakiwa uwe makini. Habari za amri kumi hazipo katika Uislamu,maelezo yangu yalikuwa yana mrudisha niliye mquote baada ya kudai hapakuwa na dini wala sheria tangu Adamu mpaka kwa Musa. Kwenu nyinyi ndiyo mna habari za amri kumi zinazo itwa za Mungu,nikamuuliza muhusika anajua kama hizo ni sheria ?

Sasa usiwe una kurupuka kijana,ndiyo maana unakuwa muongo na kuzusha mambo kila uchwao.

Kwahiyo sababu hukuelewa na ukajidai umeelewa,sasa kama una shauku na hilo jibu hilo swali nililo muuliza mdau.
 
Wewe ni muislamu unapojibu swali unatakiwa ujikite kujibu kwa kutumia imani yako, ulie m quote kasema hapakuwa na dini wala sheria tangu adam
Na madai Yako Adam alikuwa muislamu
Na kusisitiza kwamba kulikuwa na sheria ukauliza je anazijua ata amri kumi za Mungu na ukasema zile ni sheria

Hoka yangu inakuja wapi kwenye maandiko ya kiislam tunasoma hayo na wewe umeyatoa wapi

Wapi kwenye Koran Musa muislamu alipewa sheria na hizo sheria amri kumi na wapi zimetajwa
 
@iselemagazi pia ukisoma historia ya aaba, unaoana kwa nyakati tofauti tofauti imekuwa ikikarabatiwa. Hii ni kawaida kwa jengo lolote huhitaji ukarabati kutokana na sababu za kimazingira au kibinadamu. Na imeshafungwa na kufunguliwa mara zaidi ya 30. Kuna nyakati kikundi cha washia walivamia hapo na kuua waumini kisa tu wao waliamini kitendo cha kufanya ibada hapo ni sawa na kuabudu masanamu (Shirk).
Sawa mkuu. Asante.
 
Wewe ni muislamu unapojibu swali unatakiwa ujikite kujibu kwa kutumia imani yako, ulie m quote kasema hapakuwa na dini wala sheria tangu adam
Hii si lazima na inategemeana na hoja husika.

Amesema hayo lakini hana ushahidi.
Na madai Yako Adam alikuwa muislamu
Na kusisitiza kwamba kulikuwa na sheria ukauliza je anazijua ata amri kumi za Mungu na ukasema zile ni sheria
Tatizo unakurupuka sana. Hili la Adamu kuwa Muislamu nimeliweka wazi.

Naam,sheria ilikuwepo,ndiyo maana akawaoza watoto wake kwa ndugu zao,hii ni sheria. Kadhalika sheria ya kumuabudu Allah peke yake.

Sijamuuliza kama anazijua amri kumi,bali nimemtanabahisha kwa kumuuliza ya kuwa je anajua ya kuwa zile amri kumi wanazo dai kuwa za Mungu,nazo ni sheria ? Sijamuuliza kama anazijua amri kumi. Ongeza umakini.

Kwahiyo bado unaelea katika bahari ya ukurupukaji.

Naendelea....
 
Hii si lazima na inategemeana na hoja husika.

Amesema hayo lakini hana ushahidi.

Tatizo unakurupuka sana. Hili la Adamu kuwa Muislamu nimeliweka wazi.

Naam,sheria ilikuwepo,ndiyo maana akawaoza watoto wake kwa ndugu zao,hii ni sheria. Kadhalika sheria ya kumuabudu Allah peke yake.

Sijamuuliza kama anazijua amri kumi,bali nimemtanabahisha kwa kumuuliza ya kuwa je anajua ya kuwa zile amri kumi wanazo dai kuwa za Mungu,nazo ni sheria ? Sijamuuliza kama anazijua amri kumi. Ongeza umakini.

Kwahiyo bado unaelea katika bahari ya ukurupukaji.

Naendelea....
Ulitakiwa ujibu kwa Imani Yako , na unaposema kitu tafadhali Weka ushaidi wa maandiko

Kwa hiyo kama umesema walikuwa wanadai utetezi wako kwamba kulikuwa na dini na sheria umefia hapo

Nimemaliza usirudie tena kutaja vitu huna ushaidi
 
Hujaona swali nililo kuuliza ?

Usikimbie kijana.

Mimi bado naendelea....
 
Back
Top Bottom