Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Kilanga huaga unanichanganya kidogo, ni kwamba wewe huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini katika mungu wa Quaran na Biblia? Hebu nifafanulie kidogo na mimi nielewe.Kama hujui square root ya 2 unaweza kusema kwamba square root ya 2 si 10?
Logical non sequitur.
Kumbe rastafarians nao ni waislamu sio? Maana na wenyewe ni watii na wanyenyekevu sa,a. Again, hivi magaidi wengi si ni waislamu? Wale nao ni watii na wanyenyekevu kweli? Nitajie eneo lolote la hi dunia ambalo lina waislamu wengi au hata nchi za kiislamu ambazo hazina malalamiko, je huo ni unyenyekevu? "Muislam" Adam aliyekula tunda unasemaje kama alikua mtii? By the way story ya Adamu huweizi kuipata vizuri zaidi kuliko Biblia, Quran imedokeza tu haina details za Adamu so bado useme kwamba Adamu alikua muislamu? Tusidanganyane, uislamu ni wa Muhamad na sio wa enzi nz enzi, umekuja juziKunyenyekea kwake na kutii.
Kilanga huaga unanichanganya kidogo, ni kwamba wewe huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini katika mungu wa Quaran na Biblia? Hebu nifafanulie kidogo na mimi nielewe.
Wanyenyekevu kwa nani ?Kumbe rastafarians nao ni waislamu sio? Maana na wenyewe ni watii na wanyenyekevu sa,a.
Ugaidi ni nini kwanza ?Again, hivi magaidi wengi si ni waislamu?
Unanitoa kwenye mada mzee. Jikite kwenye mada. Kisha uwe unasoma hoja na kuielewa kabla ya kuchangia.Wale nao ni watii na wanyenyekevu kweli? Nitajie eneo lolote la hi dunia ambalo lina waislamu wengi au hata nchi za kiislamu ambazo hazina malalamiko, je huo ni unyenyekevu? "
Kwani mtiifu hakosei ? Ushajiuliza kwanini kuna toba ?Adam aliyekula tunda unasemaje kama alikua mtii?
Sito kweli,weka historia ya Adamu toka kwenye Biblia kisha nikiwekee ya kwenye Qur'aan uone wapi imeandikwa vizuri na ipi ina jibuaswali ya waulizaji kwa ufasaha na kukinaisha.By the way story ya Adamu huweizi kuipata vizuri zaidi kuliko Biblia,
Hujaweka hoja hapa. Niambie wewe Adamu alikuwa na dini gani ?Quran imedokeza tu haina details za Adamu so bado useme kwamba Adamu alikua muislamu?
Pinga kwa hoja kijana,au weka andiko toka kwenye Biblia linalo unga mkono hiki unacho kidai.Tusidanganyane, uislamu ni wa Muhamad na sio wa enzi nz enzi, umekuja juzi
Mwanzoni enzi za kina Adamu hadi Musa hakukua na dini yeyote, hi haina maana kama watu hawakua wanaabudu Mungu, walijiwekea utamaduni wao wa kuabudu. Remember kabla ya Musa hakukua na sheria ilioandikwa but baadhi yao bado Mungu alikua anawatokea na kuongea nao vile atakavyo. Neno Uislam limeanza mwaka 652 BC or you can call, uislamu umeanza baada ya Ukristo kwa zaidi ya miaka 600,umekuja ukiwa ume copy baadhi ya desturi za Kiyahudi na Kikristo na infact mwanzilishi wa uislamu yaelekea alikua na knowledge ya Ukristo so kachanganya desturi za Kiyahudi na Kiarabu na tamaduni za mashariki ya kati then akaifanya kua DINI. Baadhi ya mifano ya desturi za kusali za Kiyahudi ni ile KIBRA kwenye misikiti, ile wametoa kwenye masinagogi ya Wayahudi ambayo ndio hi leo dini inaitwa JUDAISM wao wanaita "PATAKATIFU pa PATAKATIFU" mwanzilishi wa uislamu akaita KIBRA, huo uelekeo wa mashariki pia wametoa kwenye kitabu cha Daniel, wakati Wayahudi wametekwa kwenda Babeli kijana mmoja wa Kiyahudi wakati anaabudu, alikua akiuelekeza USO wake Jerusalem nk nk.Wanyenyekevu kwa nani ?
Ugaidi ni nini kwanza ?
Ili nijue kwamba ni wengi au la ?!
Unanitoa kwenye mada mzee. Jikite kwenye mada. Kisha uwe unasoma hoja na kuielewa kabla ya kuchangia.
Kwani mtiifu hakosei ? Ushajiuliza kwanini kuna toba ?
"Kila mwanadamu ni mkoseaji,na mbora wa wakoseaji ni yule mwenye kufanya toba."
Sito kweli,weka historia ya Adamu toka kwenye Biblia kisha nikiwekee ya kwenye Qur'aan uone wapi imeandikwa vizuri na ipi ina jibuaswali ya waulizaji kwa ufasaha na kukinaisha.
Biblia si kitabu kitukufu kwa sababu nyingi sana,kwahiyo ni kosa kubwa sana kuilinganisha na Qur'aan.
Hujaweka hoja hapa. Niambie wewe Adamu alikuwa na dini gani ?
Pinga kwa hoja kijana,au weka andiko toka kwenye Biblia linalo unga mkono hiki unacho kidai.
Huo Ukristo tu wenyewe nabii Issa (Yesu) ameondoka hajauacha.
Umejuaje kama hawakuwa na dini na unakiri ya kuwa walijiwekea utaratibu wao wa kuabudu. Huo utaratibu kiistilahi huitwa Dini.Mwanzoni enzi za kina Adamu hadi Musa hakukua na dini yeyote, hi haina maana kama watu hawakua wanaabudu Mungu,
Hili tamko "utamaduni" umelibabatiza,umeliweka sehemu ambayo si yake. Weka tamko "utaratibu" kwenye tamko "tamaduni".walijiwekea utamaduni wao wa kuabudu.
Torati ilikuwa inafundisha nini ?Remember kabla ya Musa hakukua na sheria ilioandikwa but baadhi yao bado Mungu alikua anawatokea na kuongea nao vile atakavyo.
Amri kumi za Mungu kwenye Koran nazisoma sura ipiUmejuaje kama hawakuwa na dini na unakiri ya kuwa walijiwekea utaratibu wao wa kuabudu. Huo utaratibu kiistilahi huitwa Dini.
Kama Adamu,hadi Musa walikuwepo walikuwa wanafundisha mafundisho gani na wafuasi wao waliwapataje ?
Ushawahi kusikia kuhusu Uyahudi na chimbuko lao ?
Hili tamko "utamaduni" umelibabatiza,umeliweka sehemu ambayo si yake. Weka tamko "utaratibu" kwenye tamko "tamaduni".
Torati ilikuwa inafundisha nini ?
Ukiambiwa Sheria ya Musa una elewa nini ? Inabidi uniambie hili tamko "Sheria" unalielewaje ?
Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?
Naendelea ....
Usiulize swali kabla hujaelewa kilichoandikwa. Hakikisha unaelewa kwanza.Amri kumi za Mungu kwenye Koran nazisoma sura ipi
Kijana unataka nielewe risala auUsiulize swali kabla hujaelewa kilichoandikwa. Hakikisha unaelewa kwanza.
Sasa soma tena kilicho andikwa.
Ndiyo maana nimekuuliza umesoma nilicho kiandika ? Rejea tena.Kijana unataka nielewe risala au
Mubarridi says Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?
Umejuaje kulikua na amri kumi ambazo ni sheria ndio nataka kujua kwenye Koran umezisoma sura ipi
Kwani kuhubiri hakuwezi kuwa ni uthibitisho ?Unachanganya kuhubiri na kuthibitisha.
Nimekuuliza kuhusu kuthibitisha, si kuhubiri.
Unaweza kuthibitisha Allah yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si kamba za watu tu?
Hujathibitisha hili.
Nimesoma ulicho andika , na nipo interested na amri kumi, umejuaje kulikuwepo na amri kumi na umesema zile ni sheria , Je waislamu mnazifuata? na kama mnazifuata nazisoma wapi kwenye Koran?Ndiyo maana nimekuuliza umesoma nilicho kiandika ? Rejea tena.
Bado hujaelewa nilicho kiandika. Unatakiwa uwe makini. Habari za amri kumi hazipo katika Uislamu,maelezo yangu yalikuwa yana mrudisha niliye mquote baada ya kudai hapakuwa na dini wala sheria tangu Adamu mpaka kwa Musa. Kwenu nyinyi ndiyo mna habari za amri kumi zinazo itwa za Mungu,nikamuuliza muhusika anajua kama hizo ni sheria ?Nimesoma ulicho andika , na nipo interested na amri kumi, umejuaje kulikuwepo na amri kumi na umesema zile ni sheria , Je waislamu mnazifuata? na kama mnazifuata nazisoma wapi kwenye Koran?
Mubarridi says Unajua hata zile ziitwazo "Amri kumi za Mungu" zile ni sheria. Unakubali hilo ?
Nipo, huwezi ukaongea kitu nikuache tu
Wewe ni muislamu unapojibu swali unatakiwa ujikite kujibu kwa kutumia imani yako, ulie m quote kasema hapakuwa na dini wala sheria tangu adamBado hujaelewa nilicho kiandika. Unatakiwa uwe makini. Habari za amri kumi hazipo katika Uislamu,maelezo yangu yalikuwa yana mrudisha niliye mquote baada ya kudai hapakuwa na dini wala sheria tangu Adamu mpaka kwa Musa. Kwenu nyinyi ndiyo mna habari za amri kumi zinazo itwa za Mungu,nikamuuliza muhusika anajua kama hizo ni sheria ?
Sasa usiwe una kurupuka kijana,ndiyo maana unakuwa muongo na kuzusha mambo kila uchwao.
Kwahiyo sababu hukuelewa na ukajidai umeelewa,sasa kama una shauku na hilo jibu hilo swali nililo muuliza mdau.
Sawa mkuu. Asante.@iselemagazi pia ukisoma historia ya aaba, unaoana kwa nyakati tofauti tofauti imekuwa ikikarabatiwa. Hii ni kawaida kwa jengo lolote huhitaji ukarabati kutokana na sababu za kimazingira au kibinadamu. Na imeshafungwa na kufunguliwa mara zaidi ya 30. Kuna nyakati kikundi cha washia walivamia hapo na kuua waumini kisa tu wao waliamini kitendo cha kufanya ibada hapo ni sawa na kuabudu masanamu (Shirk).
Hii si lazima na inategemeana na hoja husika.Wewe ni muislamu unapojibu swali unatakiwa ujikite kujibu kwa kutumia imani yako, ulie m quote kasema hapakuwa na dini wala sheria tangu adam
Tatizo unakurupuka sana. Hili la Adamu kuwa Muislamu nimeliweka wazi.Na madai Yako Adam alikuwa muislamu
Na kusisitiza kwamba kulikuwa na sheria ukauliza je anazijua ata amri kumi za Mungu na ukasema zile ni sheria
Ulitakiwa ujibu kwa Imani Yako , na unaposema kitu tafadhali Weka ushaidi wa maandikoHii si lazima na inategemeana na hoja husika.
Amesema hayo lakini hana ushahidi.
Tatizo unakurupuka sana. Hili la Adamu kuwa Muislamu nimeliweka wazi.
Naam,sheria ilikuwepo,ndiyo maana akawaoza watoto wake kwa ndugu zao,hii ni sheria. Kadhalika sheria ya kumuabudu Allah peke yake.
Sijamuuliza kama anazijua amri kumi,bali nimemtanabahisha kwa kumuuliza ya kuwa je anajua ya kuwa zile amri kumi wanazo dai kuwa za Mungu,nazo ni sheria ? Sijamuuliza kama anazijua amri kumi. Ongeza umakini.
Kwahiyo bado unaelea katika bahari ya ukurupukaji.
Naendelea....
Hujaona swali nililo kuuliza ?Ulitakiwa ujibu kwa Imani Yako , na unaposema kitu tafadhali Weka ushaidi wa maandiko
Kwa hiyo kama umesema walikuwa wanadai utetezi wako kwamba kulikuwa na dini na sheria umefia hapo
Nimemaliza usirudie tena kutaja vitu huna ushaidi
Nijibu kwa imani yangu kuhusu "amri kumi za mungu" huu ni wendawazimu sasa,hili hatuna sisi Waislamu.Ulitakiwa ujibu kwa Imani Yako , na unaposema kitu tafadhali Weka ushaidi wa maandik