Nafikiri ungejibu nondoMungu aliyeshindana mieleka na Yakobo na Mungu wako kushindwa! Huyo Mungu bakinae wewe mshikiwa akili.
Allah kutumia nafsi ya umoja na wingi ni kujionesha ukubwa wake na Mamlaka aliyonayoNafikiri ungejibu nondo
Kwa nini allah anashindwa ku switch form 1st person to 3rd person na kwa nini anatumia neno kama may je anajisahau?
48:2 That allah may forgive you your sins of the past and the future ,
Hana uhakika kwamba atasamehe au hata samehe
Hapa allah akisema na Mwenyezi Mungu awaangamize! ameshindwa ku switch 1st to 3rd au allah anamuomba mungu mwingine?
AT-TAWBA - 30 ................ Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Torati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilindaHivyo vitabu umetaja vya Allah wenzako humu walishindwa kutoa mistari ya moja katika kila kitabu ,
Wewe kwa sababu upo chuo kikuu
Nipe Aya 1 katika kila kitabu Cha Allah
Torati ya Allah weka Aya 1......
Zaburi ya Allah weka Aya 1....
Injili ya issa wa Allah weka Aya 1...
Na mwisho uweke matini ya hivyo vitabu
Hujaelewa swali majibu yako ni zeroAllah kutumia nafsi ya umoja na wingi ni kujionesha ukubwa wake na Mamlaka aliyonayo
tuje mfano mdgo wa hapa duniani
Rais wa nchi X akienda nchi Y atasema sisi nchi X tumefanya ..... hpo Rais kawakilisha wananchi wote wa nchi X kwa nchi Y lkn yupo peke ake kwaio ilo ni jambo dogo sana na nimeshakuelewesha nahisi umenielewa
Jibu haya maswali , Kuhusu hivyo vitabu vya AllahTorati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilindaView attachment 2013348
hpa nimekuekea ushahidi kua Qur'an ina ulinzi kutoka kwa Allah na hivo vitabu vngne havijaoneshwa ulinziTorati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilindaView attachment 2013348
ivo vitabu vya taurati,injili na zaburi vililetwa wakati huo kwa mitume hao wa kipindi icho na waswahili wana msemo wao kila zama na kitabu chakeJibu haya maswali , Kuhusu hivyo vitabu vya Allah
nipo
- Vilitiwa mikono na kina nani?
- Je kuna uthibitisho , yani origanal na iliyotiwa mikono?
- Kama jibu hapo juu ni hakuna original , je umejuaje vimetiwa mikono?
- Vilitiwa mikono allah karuhusu au hakuruhusu?
- Viitiwa mikono kabla ya muhammad au baada ya muhammad?
- Kama jibu ni kabla ya muhammad , waislamu wa kabla ya muhammad walikuwa wanatumia vitabu gani?
- Je Koran ilikuja miaka mingapi baada ya injili ya issa wa allah
Kwa maana hiyo hivyo vitabu vya Allah vilikuwepo kwa waislamu wa wakati huo , alafu waislamu wa wakati huo wakavichakachua, ndipo Allah akavipoteza kabisa alafu akalete Koran?! kama nimekuelewa hivyoivo vitabu vya taurati,injili na zaburi vililetwa wakati huo kwa mitume hao wa kipindi icho na waswahili wana msemo wao kila zama na kitabu chake
Sisi saivi tupo zama za Muhammad kwaio tunatakiwa tufuate Qur'an na wala sio kitabu kingine
sijasema waislamu wakavichakachuaKwa maana hiyo hivyo vitabu vya Allah vilikuwepo kwa waislamu wa wakati huo , alafu waislamu wa wakati huo wakavichakachua, ndipo Allah akavipoteza kabisa alafu akalete Koran?! kama nimekuelewa hivyo
sijasema waislamu wakavichakachua
Ila Zama zilipopita watu ndio walivitia mikono na tukisema watu wapo waislamu na wasio kua waislamu
Ndo mna Allah akaahidi kuilinda Qur'an mpk mwisho wa Dunia Qur'an haitachafuliwa na yeyote yule
Mfano mdogo tu Angalia Dunia nzima leo hii kwenye jamii za kiislamu wote wanafuata Qur'an moja tuu na haijabadilishwa chochote kile. Huu ni muujiza Wa Allah mwenye nguvu na hekma.
Alikuta tayari vimeshapotea na vishachakachuliwa ndo mna yy akashushiwa Qur'an ambayo mpka leo hii ipoJe muhammad alivikuta au alikuta vimepotea kabisa?
- Allah aliwashushia waislamu wa enzi hizo kabla ya muhammad , kwa hiyo moja kwa moja ni wao ndio wamehusika kuvichakachua wakishirikiana na wengine , hilo nimekuelewa
Alikuta tayari vimeshapotea na vishachakachuliwa ndo mna yy akashushiwa Qur'an ambayo mpka leo hii ipo
Unakijua Taurati kilishushwa kwa mtume gni?Hapa tunaona muhammad alikuta Jews wana dini yao na wanakitabu chao kinaitwa torah, muhammad akasema aletewa kitabu cha jews kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
- OK , tunaenda pamoja muhammad alikuta vitabu vya allah vimepotea, kwa maana hiyo waislamu aliowakuta walikuwa hawana vitabu
- Na hatujui waislamu waliokuwepo toka vitabu vipotee mpaka muhammad kaja watahukumiwaje?
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
- Kwa nini Muhammad anaamini kitabu cha dini nyingine?
- Kwa nini pia anamuamini Mungu wa dini nyingine alie leta kitabu hicho?
Alikuta tayari vimeshapotea na vishachakachuliwa ndo mna yy akashushiwa Qur'an ambayo mpka leo hii ipo
Hafsa hakuandika Qur'an bali Qur'an iloandikwa ilihifadhiwa ndani mwake
- Je Koran ilio andikwa kipindi cha muhammad ipo? yani matini yake
- Hafs aliandika Koran lini?
Kuhusu matini yake kusema ukweli mm sijui ila ilitolewa copy kwa kuandikwa mas-hafu nyingi nyingi ndo hii tulokua tunayo mpka leo
- Je Koran ilio andikwa kipindi cha muhammad ipo? yani matini yake
- Hafs aliandika Koran lini?
Kuhusu matini yake kusema ukweli mm sijui ila ilitolewa copy kwa kuandikwa mas-hafu nyingi nyingi ndo hii tulokua tunayo mpka leo
Ni katika uongozi wa Uthman kulitokea vita wakafariki wengi miongoni mwa mahifdhi wa Qur'an ndio kiongozi akaamuru ivo mana aliona itakuja kupotea na tukisema uongozi wa Uthman ni kiongozi wa Tatu toka Abubakar na sio miaka 200
- Vyanzo vinasema ni miaka 200 baada ya mtume ndio Korona mlionayo leo , ambayo imetolewa kwa Hafs
Hafsa hakuandika Qur'an bali Qur'an iloandikwa ilihifadhiwa ndani mwake
Quran iloandikwa kipindi cha mtume kwenye ngozi za wanyama na kwenye magome ya miti ilichapishwa copy baada katika uongozi wa Uthman na ikasambazwa kila kwenye uongozi wa kiislamu mfano yemen na nchi nyingine ndo mpk leo hii tulokua tunayo ndo iyo iyo ilokua kipindi hicho cha mtume
Ni katika uongozi wa Uthman kulitokea vita wakafariki wengi miongoni mwa mahifdhi wa Qur'an ndio kiongozi akaamuru ivo mana aliona itakuja kupotea na tukisema uongozi wa Uthman ni kiongozi wa Tatu toka Abubakar na sio miaka 200