Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Mungu aliyeshindana mieleka na Yakobo na Mungu wako kushindwa! Huyo Mungu bakinae wewe mshikiwa akili.
Nafikiri ungejibu nondo
Kwa nini allah anashindwa ku switch form 1st person to 3rd person na kwa nini anatumia neno kama may je anajisahau?

48:2 That allah may forgive you your sins of the past and the future ,
Hana uhakika kwamba atasamehe au hata samehe

Hapa allah akisema na Mwenyezi Mungu awaangamize! ameshindwa ku switch 1st to 3rd au allah anamuomba mungu mwingine?
AT-TAWBA - 30 ................ Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Allah kutumia nafsi ya umoja na wingi ni kujionesha ukubwa wake na Mamlaka aliyonayo

tuje mfano mdgo wa hapa duniani
Rais wa nchi X akienda nchi Y atasema sisi nchi X tumefanya ..... hpo Rais kawakilisha wananchi wote wa nchi X kwa nchi Y lkn yupo peke ake kwaio ilo ni jambo dogo sana na nimeshakuelewesha nahisi umenielewa
 
Hivyo vitabu umetaja vya Allah wenzako humu walishindwa kutoa mistari ya moja katika kila kitabu ,

Wewe kwa sababu upo chuo kikuu
Nipe Aya 1 katika kila kitabu Cha Allah
Torati ya Allah weka Aya 1......
Zaburi ya Allah weka Aya 1....
Injili ya issa wa Allah weka Aya 1...

Na mwisho uweke matini ya hivyo vitabu
Torati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilinda
20211116_220300.jpg
 
Allah kutumia nafsi ya umoja na wingi ni kujionesha ukubwa wake na Mamlaka aliyonayo

tuje mfano mdgo wa hapa duniani
Rais wa nchi X akienda nchi Y atasema sisi nchi X tumefanya ..... hpo Rais kawakilisha wananchi wote wa nchi X kwa nchi Y lkn yupo peke ake kwaio ilo ni jambo dogo sana na nimeshakuelewesha nahisi umenielewa
Hujaelewa swali majibu yako ni zero

Kwa nini allah anashindwa ku switch form 1st person to 3rd person na kwa nini anatumia neno kama may je anajisahau?
48:2 That allah may forgive you your sins of the past and the future ,
Hana uhakika kwamba atasamehe au hata samehe
Hapa allah akisema na Mwenyezi Mungu awaangamize! ameshindwa ku switch 1st to 3rd au allah anamuomba mungu mwingine?
AT-TAWBA - 30 ................ Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Torati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilindaView attachment 2013348
Jibu haya maswali , Kuhusu hivyo vitabu vya Allah
  • Vilitiwa mikono na kina nani?
  • Je kuna uthibitisho , yani origanal na iliyotiwa mikono?
    • Kama jibu hapo juu ni hakuna original , je umejuaje vimetiwa mikono?
    • Kama jibu ni original ipo , unaweza kuweka original na iliyotiwa mikono hapa?
  • Vilitiwa mikono allah karuhusu au hakuruhusu?
  • Viitiwa mikono kabla ya muhammad au baada ya muhammad?
    • Kama jibu ni kabla ya muhammad , waislamu wa kabla ya muhammad walikuwa wanatumia vitabu gani?
  • Je Koran ilikuja miaka mingapi baada ya injili ya issa wa allah
nipo
 
Torati,injili na Zaburi vyote hivi vimetiwa mikono ya watu na kuvigeuza wanavotaka wao lkn muujiza wa Qur'an ni kua hakuna anaeweza kuigeuza Qur'an mna Mungu kaahidi kuilindaView attachment 2013348
hpa nimekuekea ushahidi kua Qur'an ina ulinzi kutoka kwa Allah na hivo vitabu vngne havijaoneshwa ulinzi
Ndo mna ata bible ina agano jipya na.la kale bcz ilichezewa ndo mna lipo agano jipya mna lile la kale lilikua lina sheria kali hamziwezi kma katazo la kula nguruwe
 
Jibu haya maswali , Kuhusu hivyo vitabu vya Allah
  • Vilitiwa mikono na kina nani?
  • Je kuna uthibitisho , yani origanal na iliyotiwa mikono?
  • Kama jibu hapo juu ni hakuna original , je umejuaje vimetiwa mikono?
  • Vilitiwa mikono allah karuhusu au hakuruhusu?
  • Viitiwa mikono kabla ya muhammad au baada ya muhammad?
  • Kama jibu ni kabla ya muhammad , waislamu wa kabla ya muhammad walikuwa wanatumia vitabu gani?
  • Je Koran ilikuja miaka mingapi baada ya injili ya issa wa allah
nipo
ivo vitabu vya taurati,injili na zaburi vililetwa wakati huo kwa mitume hao wa kipindi icho na waswahili wana msemo wao kila zama na kitabu chake
Sisi saivi tupo zama za Muhammad kwaio tunatakiwa tufuate Qur'an na wala sio kitabu kingine
 
Kwa maana hiyo hivyo vitabu vya Allah vilikuwepo kwa waislamu wa wakati huo , alafu waislamu wa wakati huo wakavichakachua, ndipo Allah akavipoteza kabisa alafu akalete Koran?! kama nimekuelewa hivyo
 
sijasema waislamu wakavichakachua
Ila Zama zilipopita watu ndio walivitia mikono na tukisema watu wapo waislamu na wasio kua waislamu
Ndo mna Allah akaahidi kuilinda Qur'an mpk mwisho wa Dunia Qur'an haitachafuliwa na yeyote yule
Mfano mdogo tu Angalia Dunia nzima leo hii kwenye jamii za kiislamu wote wanafuata Qur'an moja tuu na haijabadilishwa chochote kile. Huu ni muujiza Wa Allah mwenye nguvu na hekma.
 
  • Allah aliwashushia waislamu wa enzi hizo kabla ya muhammad , kwa hiyo moja kwa moja ni wao ndio wamehusika kuvichakachua wakishirikiana na wengine , hilo nimekuelewa
Je muhammad alivikuta au alikuta vimepotea kabisa?
 
Alikuta tayari vimeshapotea na vishachakachuliwa ndo mna yy akashushiwa Qur'an ambayo mpka leo hii ipo
 
  • OK , tunaenda pamoja muhammad alikuta vitabu vya allah vimepotea, kwa maana hiyo waislamu aliowakuta walikuwa hawana vitabu
  • Na hatujui waislamu waliokuwepo toka vitabu vipotee mpaka muhammad kaja watahukumiwaje?
Hapa tunaona muhammad alikuta Jews wana dini yao na wanakitabu chao kinaitwa torah, muhammad akasema aletewa kitabu cha jews kinaitwa torah akaweka mkono juu ya kitabu akasema nakiamini na naamini alie kidhihirisha
...........Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee ...... Sunan Abi Dawud 4449
  • Kwa nini Muhammad anaamini kitabu cha dini nyingine?
  • Kwa nini pia anamuamini Mungu wa dini nyingine alie leta kitabu hicho?
 
Unakijua Taurati kilishushwa kwa mtume gni?
Muhammad kabla hajapewa utume alikua akitumia dini ya nabii ibrahim na watu wa jamii yake wengi waliyaacha mafundisho ya nabii ibrahimu na kuabudu masanamu
Yy alikingwa na Allah toka mwanzo kutokufanya ibada hizo ndo akawa anaenda kwenye pango la hiraa
kma untka Maisha ya mtume nitakupa Audio usikilize tulivofundishwa na masheikh wetu
 
  • Je Koran ilio andikwa kipindi cha muhammad ipo? yani matini yake
  • Hafs aliandika Koran lini?
Hafsa hakuandika Qur'an bali Qur'an iloandikwa ilihifadhiwa ndani mwake

Quran iloandikwa kipindi cha mtume kwenye ngozi za wanyama na kwenye magome ya miti ilichapishwa copy baada katika uongozi wa Uthman na ikasambazwa kila kwenye uongozi wa kiislamu mfano yemen na nchi nyingine ndo mpk leo hii tulokua tunayo ndo iyo iyo ilokua kipindi hicho cha mtume
 
Kuhusu matini yake kusema ukweli mm sijui ila ilitolewa copy kwa kuandikwa mas-hafu nyingi nyingi ndo hii tulokua tunayo mpka leo
 
  • Vyanzo vinasema ni miaka 200 baada ya mtume ndio Korona mlionayo leo , ambayo imetolewa kwa Hafs
 
Ni katika uongozi wa Uthman kulitokea vita wakafariki wengi miongoni mwa mahifdhi wa Qur'an ndio kiongozi akaamuru ivo mana aliona itakuja kupotea na tukisema uongozi wa Uthman ni kiongozi wa Tatu toka Abubakar na sio miaka 200
 
Hafsa hakuandika Qur'an bali Qur'an iloandikwa ilihifadhiwa ndani mwake

Quran iloandikwa kipindi cha mtume kwenye ngozi za wanyama na kwenye magome ya miti ilichapishwa copy baada katika uongozi wa Uthman na ikasambazwa kila kwenye uongozi wa kiislamu mfano yemen na nchi nyingine ndo mpk leo hii tulokua tunayo ndo iyo iyo ilokua kipindi hicho cha mtume
  • Ni kwamba hakuna uhakika maana kuna aya zingine uthuman alichoma na zingine Aisha alisema zimeliwa na mbuzi kipindi wapo bize na msaba wa Muhammad
It was narrated that 'Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
  • verses zote za kupiga mawe na kumnyonyesha mtu mzima mara 10 zilipotea kwa kuliwa na mbuzi
 
Ni katika uongozi wa Uthman kulitokea vita wakafariki wengi miongoni mwa mahifdhi wa Qur'an ndio kiongozi akaamuru ivo mana aliona itakuja kupotea na tukisema uongozi wa Uthman ni kiongozi wa Tatu toka Abubakar na sio miaka 200
  • Hafs alikuwepo miaka mingapi baada ya mtume?
  • Na unajua Hafs anatuhuma nzito kutoka kwa waislamu kwamba alikuwa Muongo?
 
Back
Top Bottom