Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
Ww una majibu yko tyr m nakupa majibu ww unakuja na majibu yko sasa mm nikuelewe vp mna Uislamu huujui kueleweshwa pia hutaki
 
  • Unaposema huu ni muujiza unapingana na allah ambaye amesema hataleta muijiza kwa sababu watu wazamani walikuwa hawaamini?
    • 17:59: “And We refrain from sending the Signs,
 
Hafsa alikuwa mke wa muhammad
Hafs -imam about 200yrs baada ya muhammad na recitation yake ndio ilichukuliwa ikawekwa kwenye makaratasi

turudi kwenye maswali yangu
Nilivosoma mm Uislamu wangu sahihi kabisaa
mm nimekwambia Quran imetolewa copy kwenye uongozi wa Uthman sasa ww huujui Uislamu umemshikilia uyo hafs wako

kumuelimisha mjinga ambae hataki umtoke ujinga wake ni.kazi kweli kweli

nimekuuliza swali dogo tu apo hujaweza kujibu mpka saivi

We endelea kukaa na Ujinga wako
 
  • Matini original ya uthman unayo? ya Muhammad umeshakiri huna
  • Na pia nilishathibitisha kuna aya pia zililiwa na mbuzi
turudi hapa maana ni muendelezo wa madai ya vitabu kuchakachuliwa , ulisema alikuta wanaabudu sanamu na allah anasema hivi
  • Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Je kuabudu sanamu kunaweza kuwa kulianzishwa na Allah maana aliyatuma majini yamtengenezee Suleman wake Masanamu
 
Issue ni kwamba ulikuwa unataja Hafsa mke wa Muhammad , sasa ningejibu vipi , Mimi nilikuwa nataka Hafs imam
 
Issue ni kwamba ulikuwa unataja Hafsa mke wa Muhammad , sasa ningejibu vipi , Mimi nilikuwa nataka Hafs imam
Nakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweli
Kwaio we endelea na imani yako tutakuja kuonana mbele ya Muumba hulo
 
Nakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweli
Kwaio we endelea na imani yako tutakuja kuonana mbele ya Muumba hulo
Sina majibu yangu, naweka majibu yenu yani mimi nanukuu vitabu vyenu
Kama aisha kasema Koran verses nyingi zililiwa na mbuzi , mimi nimbishiaje mke wa Muhammad
 
Nakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweli
Kwaio we endelea na imani yako tutakuja kuonana mbele ya Muumba hulo
  • Naona umenikimbia , nakuona kwenye uzi wa kuosha
rudi kidogo kuna kiporo chako hiki hapa
turudi hapa maana ni muendelezo wa madai ya vitabu kuchakachuliwa , ulisema alikuta wanaabudu sanamu na allah anasema hivi
  • Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Je kuabudu sanamu kunaweza kuwa kulianzishwa na Allah maana aliyatuma majini yamtengenezee Suleman wake Masanamu
 
(1)
Kumbukumbu la Torati 14:7

Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu.

(2)
Zaburi 9:10

Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.

(3)(INJILI KAMA ILIVYO ANDIKWA NA YOHANA)

Yohana 17:3

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Njoo tena.
 
Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
Hakuna kitu kinaitwa "Qur'aan according to Hafs".

Hapa unataka kupotosha na kuonyesha kama kuna Qur'aan nyingi jambo ambalo si kweli.

Kingine unaonyesha ya kuwa hujui viraa (visomo) vya Qur'aan,huu ni ujinga mwingine unao kupelekea ukosee katika kujenga hoja yaani unajenga hoja ya uongo.

Ungekuwa sahihi endapo ungejenga hoja katika usomaji lakini si katika maana,sababu hivyo viraa vyote kumi kikiwepo cha riwaya ya Imaamu Hafs kutoka kwa Imaam Aaswim na viraa vingine kama vya Ibn Kathir, Yaquob,Ja'afar na vingine vyote vina maana moja ila usomwaji ni tofauti.
 
  • Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Je kuabudu sanamu kunaweza kuwa kulianzishwa na Allah maana aliyatuma majini yamtengenezee Suleman wake Masanamu
Unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu wewe,sababu siyo kilichopo unatakiwa ukifanyie kazi.

Kuabudu na kuwepo na masanamu au mtu kutengenezewa masanamu ni vitu viwili tofauti.

Sasa usiwe unauliza maswali ya kubahatisha.
 
Hafsa alikuwa mke wa muhammad
Hafs -imam about 200yrs baada ya muhammad na recitation yake ndio ilichukuliwa ikawekwa kwenye makaratasi

turudi kwenye maswali yangu
Huu uongo umeupata wapi ?

Nani amekwambia hizi habari ? Kuna viraa kumi ambavyo vimenukuliwa na sisi watu wa ukanda wa Afrika Mashariki ndiyo tunatumia kiraa cha Imamu Hafsi ukienda kaskazini mwa Afrika wanatumia kiraa na sehemu nyingine,sasa unaposema kiraa cha Imamu Hafs ndiyo kilichochukuliwa unajidhalilisha kijana.

Huku kwetu katika Uislamu kuna fani ya viraa vya Qur'aan na vyote vimedhibitiwa bali wapo watu wamehifadhi viraa vyote kumi.

Soma vitabu kama Hirzi al Aman wa Wajhu Tihan (Matnu Shaatibiya) au soma kitabu cha Imam Jazari katika elimu ya Viraa.

Ushawahi kuuliza imamu Hafs amepokea kwa nani hicho kiraa ? Unafikiri aliota nini ? Tafuta riwaya ya Imamu Hasf akiwa amepokea toka kwa imamu Aaswim hiyo ninafika mpaka kwa Mtume. Sasa sijui hoja yako iko wap kijana.
 
Chukua tuition hii:

(Qur'an 6:19-23)

19. Sema: Kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? Sema: Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu, nami ni mbali na mnao washirikisha. 19

[https://www]
20. Wale Tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao. Wale walio zikhasiri nafsi zao hawaamini.20

[https://www]
21. Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi. 21

[https://www]
22. Siku tutapo wakusanya wote pamoja, kisha tuwaambie walio shirikisha: Wako wapi washirikishwa wenu mlio kuwa mnadai? 22

[https://www]
23. Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi! Mola wetu Mlezi! Hatukuwa washirikina. 23

Ukisikia neno "sema" maana yake kuna muamurishaji na mpokea amri.
Sasa katika Aya ya 19 hapo ni Malaika akimuamuru mtume.
Na Malaika ndiyo nafsi ya kwanza hapo na mtume ni nafsi ya 2.

Aya ya 20 neno "wale" ndiyo linawakilisha nafsi ya tatu.

Aya ya 22 neno "tutapo") na neno ("wakusanya") ni maneno yenye
Tofauti kabisa kimantiki.
Neno "tutapo" ni neno la umiliki na neno "wakusanya" ni nafsi
ya 3.

Sasa kwa ujumla ni kwamba, maagizo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa mtume yalipitia kwa malaika ambaye ni nafsi ya kwanza kwenda kwa mtume ambaye ni nafsi ya pili na kwenda kwa watu ambao ni nafsi ya tatu.

Hapo Mwenyezi Mungu anabaki katika kuwakilishwa na malaika.
 
Achana nae uyo ni mjinga mmoja ivi uyo
 
Achana nae uyo mjinga m ndo mna nikampotezea tuu
 
Nimekucheka sana tena kwa nguvu, 🤣
🤣🤣🤣🤣 ,
 
Unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu wewe,sababu siyo kilichopo unatakiwa ukifanyie kazi.

Kuabudu na kuwepo na masanamu au mtu kutengenezewa masanamu ni vitu viwili tofauti.

Sasa usiwe unauliza maswali ya kubahatisha.
Naona amekuomba uje umsaidie ,
Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Haya masanamu allah aliyaweka kwenye msikiti wa suleimani wake , je unaweza kuniambia lini allah alikuja kukataza kuweka masanamu msikitini? weka na aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…