Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Tuanze hapa kwanza hafsa ni Nani?Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze hapa kwanza hafsa ni Nani?Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
Ww una majibu yko tyr m nakupa majibu ww unakuja na majibu yko sasa mm nikuelewe vp mna Uislamu huujui kueleweshwa pia hutakiUkisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
sijasema waislamu wakavichakachua
Ila Zama zilipopita watu ndio walivitia mikono na tukisema watu wapo waislamu na wasio kua waislamu
Ndo mna Allah akaahidi kuilinda Qur'an mpk mwisho wa Dunia Qur'an haitachafuliwa na yeyote yule
Mfano mdogo tu Angalia Dunia nzima leo hii kwenye jamii za kiislamu wote wanafuata Qur'an moja tuu na haijabadilishwa chochote kile. Huu ni muujiza Wa Allah mwenye nguvu na hekma.
Hafsa alikuwa mke wa muhammadTuanze hapa kwanza hafsa ni Nani?
Nilivosoma mm Uislamu wangu sahihi kabisaaHafsa alikuwa mke wa muhammad
Hafs -imam about 200yrs baada ya muhammad na recitation yake ndio ilichukuliwa ikawekwa kwenye makaratasi
turudi kwenye maswali yangu
Nilivosoma mm Uislamu wangu sahihi kabisaa
mm nimekwambia Quran imetolewa copy kwenye uongozi wa Uthman sasa ww huujui Uislamu umemshikilia uyo hafs wako
kumuelimisha mjinga ambae hataki umtoke ujinga wake ni.kazi kweli kweli
nimekuuliza swali dogo tu apo hujaweza kujibu mpka saivi
We endelea kukaa na Ujinga wako
Issue ni kwamba ulikuwa unataja Hafsa mke wa Muhammad , sasa ningejibu vipi , Mimi nilikuwa nataka Hafs imamNilivosoma mm Uislamu wangu sahihi kabisaa
mm nimekwambia Quran imetolewa copy kwenye uongozi wa Uthman sasa ww huujui Uislamu umemshikilia uyo hafs wako
kumuelimisha mjinga ambae hataki umtoke ujinga wake ni.kazi kweli kweli
nimekuuliza swali dogo tu apo hujaweza kujibu mpka saivi
We endelea kukaa na Ujinga wako
Nakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweliIssue ni kwamba ulikuwa unataja Hafsa mke wa Muhammad , sasa ningejibu vipi , Mimi nilikuwa nataka Hafs imam
Sina majibu yangu, naweka majibu yenu yani mimi nanukuu vitabu vyenuNakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweli
Kwaio we endelea na imani yako tutakuja kuonana mbele ya Muumba hulo
Nakhofia kuja kukufuru mana kumuelimisha mtu ambae tyr ana majibu yake ni kazi kweli kweli
Kwaio we endelea na imani yako tutakuja kuonana mbele ya Muumba hulo
(1)Hivyo vitabu umetaja vya Allah wenzako humu walishindwa kutoa mistari ya moja katika kila kitabu ,
Wewe kwa sababu upo chuo kikuu
Nipe Aya 1 katika kila kitabu Cha Allah
Torati ya Allah weka Aya 1......
Zaburi ya Allah weka Aya 1....
Injili ya issa wa Allah weka Aya 1...
Na mwisho uweke matini ya hivyo vitabu
Hakuna kitu kinaitwa "Qur'aan according to Hafs".Ukisema acha uongo , nategemea ukweli uweke wewe au?
Koran according to Hafs
Unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu wewe,sababu siyo kilichopo unatakiwa ukifanyie kazi.Je kuabudu sanamu kunaweza kuwa kulianzishwa na Allah maana aliyatuma majini yamtengenezee Suleman wake Masanamu
- Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Kwani Imamu Hafs amefanyaje kijana ?Issue ni kwamba ulikuwa unataja Hafsa mke wa Muhammad , sasa ningejibu vipi , Mimi nilikuwa nataka Hafs imam
Huu uongo umeupata wapi ?Hafsa alikuwa mke wa muhammad
Hafs -imam about 200yrs baada ya muhammad na recitation yake ndio ilichukuliwa ikawekwa kwenye makaratasi
turudi kwenye maswali yangu
Chukua tuition hii:Nafikiri ungejibu nondo
Kwa nini allah anashindwa ku switch form 1st person to 3rd person na kwa nini anatumia neno kama may je anajisahau?
48:2 That allah may forgive you your sins of the past and the future ,
Hana uhakika kwamba atasamehe au hata samehe
Hapa allah akisema na Mwenyezi Mungu awaangamize! ameshindwa ku switch 1st to 3rd au allah anamuomba mungu mwingine?
AT-TAWBA - 30 ................ Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Achana nae uyo ni mjinga mmoja ivi uyoChukua tuition hii:
(Qur'an 6:19-23)
19. Sema: Kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? Sema: Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu, nami ni mbali na mnao washirikisha. 19
[https://www]
20. Wale Tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao. Wale walio zikhasiri nafsi zao hawaamini.20
[https://www]
21. Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi. 21
[https://www]
22. Siku tutapo wakusanya wote pamoja, kisha tuwaambie walio shirikisha: Wako wapi washirikishwa wenu mlio kuwa mnadai? 22
[https://www]
23. Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi! Mola wetu Mlezi! Hatukuwa washirikina. 23
Ukisikia neno "sema" maana yake kuna muamurishaji na mpokea amri.
Sasa katika Aya ya 19 hapo ni Malaika akimuamuru mtume.
Na Malaika ndiyo nafsi ya kwanza hapo na mtume ni nafsi ya 2.
Aya ya 20 neno "wale" ndiyo linawakilisha nafsi ya tatu.
Aya ya 22 neno "tutapo") na neno ("wakusanya") ni maneno yenye
Tofauti kabisa kimantiki.
Neno "tutapo" ni neno la umiliki na neno "wakusanya" ni nafsi
ya 3.
Sasa kwa ujumla ni kwamba, maagizo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa mtume yalipitia kwa malaika ambaye ni nafsi ya kwanza kwenda kwa mtume ambaye ni nafsi ya pili na kwenda kwa watu ambao ni nafsi ya tatu.
Hapo Mwenyezi Mungu anabaki katika kuwakilishwa na malaika.
Achana nae uyo mjinga m ndo mna nikampotezea tuuHuu uongo umeupata wapi ?
Nani amekwambia hizi habari ? Kuna viraa kumi ambavyo vimenukuliwa na sisi watu wa ukanda wa Afrika Mashariki ndiyo tunatumia kiraa cha Imamu Hafsi ukienda kaskazini mwa Afrika wanatumia kiraa na sehemu nyingine,sasa unaposema kiraa cha Imamu Hafs ndiyo kilichochukuliwa unajidhalilisha kijana.
Huku kwetu katika Uislamu kuna fani ya viraa vya Qur'aan na vyote vimedhibitiwa bali wapo watu wamehifadhi viraa vyote kumi.
Soma vitabu kama Hirzi al Aman wa Wajhu Tihan (Matnu Shaatibiya) au soma kitabu cha Imam Jazari katika elimu ya Viraa.
Ushawahi kuuliza imamu Hafs amepokea kwa nani hicho kiraa ? Unafikiri aliota nini ? Tafuta riwaya ya Imamu Hasf akiwa amepokea toka kwa imamu Aaswim hiyo ninafika mpaka kwa Mtume. Sasa sijui hoja yako iko wap kijana.
Nimekucheka sana tena kwa nguvu, 🤣(1)
Kumbukumbu la Torati 14:7
Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu.
(2)
Zaburi 9:10
Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.
(3)(INJILI KAMA ILIVYO ANDIKWA NA YOHANA)
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Njoo tena.
Naona amekuomba uje umsaidie ,Unauliza swali ambalo ulitakiwa ujijibu wewe,sababu siyo kilichopo unatakiwa ukifanyie kazi.
Kuabudu na kuwepo na masanamu au mtu kutengenezewa masanamu ni vitu viwili tofauti.
Sasa usiwe unauliza maswali ya kubahatisha.