Kitendo cha kunyonyesha mtu mzima kwenye qur-an? Hebu weka hiyo ayaPale panasema zilifutwa kwenye recitation , ndio nikauliza nani anaweza kufuta aya, ukajibu allah , nikauliza unajua mpaka muhammad amekufa aya zilikuwepo? na walikuwa wanafanya kitendo cha kunyonyesha mtu mzima
Kama jibu ni ndio, nani kazifuta? na alipata wapi muongozo wa kuzifuta?
Koran according to recitation of Hafs according to Aasim according to Abu according to Uthaman according to Muhammad na kuna aya zilipotea kwa MuhammadHakuna kitu kinaitwa "Qur'aan according to Hafs".
Hapa unataka kupotosha na kuonyesha kama kuna Qur'aan nyingi jambo ambalo si kweli.
Kingine unaonyesha ya kuwa hujui viraa (visomo) vya Qur'aan,huu ni ujinga mwingine unao kupelekea ukosee katika kujenga hoja yaani unajenga hoja ya uongo.
Ungekuwa sahihi endapo ungejenga hoja katika usomaji lakini si katika maana,sababu hivyo viraa vyote kumi kikiwepo cha riwaya ya Imaamu Hafs kutoka kwa Imaam Aaswim na viraa vingine kama vya Ibn Kathir, Yaquob,Ja'afar na vingine vyote vina maana moja ila usomwaji ni tofauti.
It was narrated that 'Aishah said:Kitendo cha kunyonyesha mtu mzima kwenye qur-an? Hebu weka hiyo aya
Naona maneno mengi point hakunaChukua tuition hii:
(Qur'an 6:19-23)
19. Sema: Kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? Sema: Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu, nami ni mbali na mnao washirikisha. 19
[https://www]
20. Wale Tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao. Wale walio zikhasiri nafsi zao hawaamini.20
[https://www]
21. Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi. 21
[https://www]
22. Siku tutapo wakusanya wote pamoja, kisha tuwaambie walio shirikisha: Wako wapi washirikishwa wenu mlio kuwa mnadai? 22
[https://www]
23. Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi! Mola wetu Mlezi! Hatukuwa washirikina. 23
Ukisikia neno "sema" maana yake kuna muamurishaji na mpokea amri.
Sasa katika Aya ya 19 hapo ni Malaika akimuamuru mtume.
Na Malaika ndiyo nafsi ya kwanza hapo na mtume ni nafsi ya 2.
Aya ya 20 neno "wale" ndiyo linawakilisha nafsi ya tatu.
Aya ya 22 neno "tutapo") na neno ("wakusanya") ni maneno yenye
Tofauti kabisa kimantiki.
Neno "tutapo" ni neno la umiliki na neno "wakusanya" ni nafsi
ya 3.
Sasa kwa ujumla ni kwamba, maagizo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa mtume yalipitia kwa malaika ambaye ni nafsi ya kwanza kwenda kwa mtume ambaye ni nafsi ya pili na kwenda kwa watu ambao ni nafsi ya tatu.
Hapo Mwenyezi Mungu anabaki katika kuwakilishwa na malaika.
Kwanza tuonyeshe wapi kumeandikwa yalikuwa yanawekwa kwenye msikiti wa Suleyman ?Haya masanamu allah aliyaweka kwenye msikiti wa suleimani wake , je unaweza kuniambia lini allah alikuja kukataza kuweka masanamu msikitini? weka na aya
Hii nukuu haionyeshi ibada au kuabudu masanamu.Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Hii aya iko wazi sana,nashangaa unapoleta uhusiano na kuabudiwa kwa masanamu au tupe ushahidi lini wafuasi wa nabii Suleyman waliabudu masanamu ?Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu,
Hajaomba msaada bali nimeona unampotezea muda na huna hoja bali ujinga mwingi na uootoshaji.Naona amekuomba uje umsaidie ,
Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Hahaha nimecheka sana jibu maswali niliyo kuuliza.Koran according to recitation of Hafs according to Aasim according to Abu according to Uthaman according to Muhammad na kuna aya zilipotea kwa Muhammad
Suleiman wa allah alikua anajengewa msikiti na umewekwa masanamu na walikuwa wanamjengea ni majiniKwanza tuonyeshe wapi kumeandikwa yalikuwa yanawekwa kwenye msikiti wa Suleyman ?
Yaani tuambie lini Allah aliruhusu masanamu yawekwe misikitini ? Sababu katika kaida ya kiusuli ni kuwa kila ibada asili ni kutokufanywa au ni haramu mpaka uje ushahidi wa kuonyesha kufaa kwa jambo hilo.
Hii nukuu haionyeshi ibada au kuabudu masanamu.
Hii aya iko wazi sana,nashangaa unapoleta uhusiano na kuabudiwa kwa masanamu au tupe ushahidi lini wafuasi wa nabii Suleyman waliabudu masanamu ?
Hajaomba msaada bali nimeona unampotezea muda na huna hoja bali ujinga mwingi na uootoshaji.
Usicheki , umeona huo mtiririko yani hakuna matini iliyoandikwa kipindi cha muhhamad zote ni recitation according toHahaha nimecheka sana jibu maswali niliyo kuuliza.
Hoja yako iko wapi kwenye maana au matini ?
It was narrated that 'Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
Lakini kipindi cha Muhammad walikuwa wana practice
- verses zote za kupiga mawe na kumnyonyesha mtu mzima mara 10 zilipotea kwa kuliwa na mbuzi
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
Jibu swali nililo kuuliza.Suleiman wa allah alikua anajengewa msikiti na umewekwa masanamu na walikuwa wanamjengea ni majini
synagogues maana yake ni sehemu ya kuabudia embu uwe unatumia akili kijana
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu,
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Kwa hiyo muanzilishi wa masanamu ni Allah tumemaliza hilo, yeye allah aliyaweka ili waislamu wakiingia kwenye syagogue la suleiman wayaangalie ili kumuabudu allah
Kijana unachekesha sana,sasa ulifikiri zingetufikia vipi sisi bila hizo chain ? Huoni kwenye Ukristo wenu hamna cheni ndiyo maana habari za dini yenu Kuna uongo mwingi ?Usicheki , umeona huo mtiririko yani hakuna matini iliyoandikwa kipindi cha muhhamad zote ni recitation according to
na mwisho wa siku aisha kasema kuna aya 2 kubwa zililiwa na mbuzi
It was narrated that 'Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
Embu weka point kwa kifupi mda wa kuangalia video ndio shida, weka nondo humuPitia hapo kwanza .
Issue ni kwamba hakuna matini ya Muhammad wala uthuman ,tumemalizaKijana unachekesha sana,sasa ulifikiri zingetufikia vipi sisi bila hizo chain ? Huoni kwenye Ukristo wenu hamna cheni ndiyo maana habari za dini yenu Kuna uongo mwingi ?
Unajifanyaga una swali wakati huna swaliJibu swali nililo kuuliza.
Hii ya kusema Kuna uongo ni kichaka Cha watoto wadogo, unawezaje kujua uongo wa maandishi kama huna original na fake,Kijana unachekesha sana,sasa ulifikiri zingetufikia vipi sisi bila hizo chain ? Huoni kwenye Ukristo wenu hamna cheni ndiyo maana habari za dini yenu Kuna uongo mwingi ?
Nina swali hili nijibuKijana unachekesha sana,sasa ulifikiri zingetufikia vipi sisi bila hizo chain ? Huoni kwenye Ukristo wenu hamna cheni ndiyo maana habari za dini yenu Kuna uongo mwingi ?
Ila Allah! Yani leo hii ingekuwa ukienda kwa Muslim women mtu mzima unanyonya mara Tano Yani alibadili ile mara 10 ikawa mara 5 , Yani alikuwa hajui kabisa Kuna kipindi mwanamke yupo kwenye jotoPitia hapo kwanza .
Issue kijana inayokuja ni kwamba kilicho andikwa, unaweza kuaminini kilicho andikwa ni kweli kinakuwa kimeandikwa kweli na unayemuabudu ndio katamka, je alicho kitamka ni kweli?Kijana unachekesha sana,sasa ulifikiri zingetufikia vipi sisi bila hizo chain ? Huoni kwenye Ukristo wenu hamna cheni ndiyo maana habari za dini yenu Kuna uongo mwingi ?
Kijana ujinga mzigo sana hadithi zenye ndiyo zina matini yenyewe,yaani chaina ndiyo imebeba matini. Ndiyo maana dini yetu ipo cream kama ilivyo.Issue ni kwamba hakuna matini ya Muhammad wala uthuman ,tumemaliza
Zilizopo ni Hadith ambazo zina chain kutoka Hafs kurudi nyuma
Acha stori jibu swali nililo kuuliza.Unajifanyaga una swali wakati huna swali
Nilichotaka ku prove ni kwamba Allah ndie muanzilishi wa masanamu na nime prove, kama Allah kaweka masanamu msikitini kwa Suleiman na waislamu wakabadili matumizi wakaanza kayaabudu hiyo ni mana nyingine
Suleiman wa allah alikua anajengewa msikiti na umewekwa masanamu na walikuwa wanamjengea ni majini
synagogues maana yake ni sehemu ya kuabudia embu uwe unatumia akili kijana
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu,
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Kwa hiyo muanzilishi wa masanamu ni Allah tumemaliza hilo, yeye allah aliyaweka ili waislamu wakiingia kwenye syagogue la suleiman wayaangalie ili kumuabudu allah