Jibu humu kumbuka hadith zote zipo kwenye kitabu kinaitwa sahih
- Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
- Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house),
whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an
ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the
Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated
by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
Kabla ya kuanza kukujibu nikuelekeze vitu hivi ili twende sawa Hadith maana yake ni maneno aliyoyasema mtume muhammad (swalallah aleyh wa salam) na hadithi huwa hazipo kwenye msahafu au quran japo dhumuni la hadithi ni kutafsiri na kuielewa qu-rani kiundani ila narudia tena hazipo kwenye quran nadhani tupo sawa hapo.
Kingine Qu-ran ni maneno ya Allah (subhanna hu wataallah) ambayo alimteremshia mtume wake wa mwisho muhammad (swalallah aleyh wa salam) kidogo kidogo kutokana na matukio aliyokuwa anakutana nayo kwa muda mrefu kupitia malaika jibril (alleyhi salam).
Ndani ya qur-ani kuna mkusanyiko wa simulizi za mitume na watu mbali mbali pamoja na matukio yaliyotokea kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu mpaka utakapofikia mwisho huo ulimwengu .
Piw kumebeba sheria, ahadi na utabiri uliyo sahihi kabisa kwani anayeyasema haya ni yule mwenye elimu kubwa ambayo hatuwezi kuiwazia sisi viumbe vyake si mwingine ni Allah (subhanna hu wataallah).
Ok twende kwenye mada husika hapo juu.
Tukianza na hadithi hiyi ya 1453 kutoka sahihi muslim niseme tu kwanza haujaweka hadithi nzima 😅 why? umefanya uliyofanya sijui labda una manipulate hoja zako kwa waislamu na watu wengine wasio na elimu kubwa sijui . Anyway hadithi inasema hivi.
'' A'isha (Allah be pleased with her) reported that Sahla bint Suhail came to Allah's Apostle (may peace be eupon him) and said:
Messengerof Allah, I see on the face of Abu Hudhaifa (signs of disgust) on entering of Salim (who is an ally) into (our house), whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Suckle him. She said: How can I suckle him as he is a grown-up man? Allah's Messenger (ﷺ) smiled and said: I already know that he is a young man 'Amr has made this addition in his narration that he participated in the Battle of Badr and in the narration of Ibn 'Umar (the words are): Allah's Messenger (ﷺ) laughed."
حَدَّثَنَا عَمْرٌو النَّاقِدُ، وَابْنُ أَبِي عُمَرَ، قَالاَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بْنُ عُيَيْنَةَ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، بْنِ الْقَاسِمِ عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ جَاءَتْ سَهْلَةُ بِنْتُ سُهَيْلٍ إِلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَقَالَتْ يَا رَسُولَ اللَّهِ إِنِّي أَرَى فِي وَجْهِ أَبِي حُذَيْفَةَ مِنْ دُخُولِ سَالِمٍ - وَهُوَ حَلِيفُهُ . فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم " أَرْضِعِيهِ " . قَالَتْ وَكَيْفَ أُرْضِعُهُ وَهُوَ رَجُلٌ كَبِيرٌ فَتَبَسَّمَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَقَالَ " قَدْ عَلِمْتُ أَنَّهُ رَجُلٌ كَبِيرٌ " . زَادَ عَمْرٌو فِي حَدِيثِهِ وَكَانَ قَدْ شَهِدَ بَدْرًا . وَفِي رِوَايَةِ ابْنِ أَبِي عُمَرَ فَضَحِكَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم .
Nimeweka kwa kiarabu pia kama ilivyopokelewa hapo.
UCHAMBUZI YAKINIFU 😊
Kwanza turudi kwa salha binti suhail na mumewe abu hudhaifa hawa swahaba wawili walimu adopt(kumpitisha) salim kuwa mtoto wao na wakaishi naye mpaka akawa amebalehe , sasa kwa kuwa salim alishazoea tokea akiwa mdogo kuingia nyumba waliyomo wazazi wake hiki kitendo baba yake wa kufikia yaani abu hudhaifa hakukikipenda kwa sababu ukizingatia ni keshakuwa mtu mzima halafu mara nyengine anamkuta mama yake wa kufikia labda hajavaa stara .
Ndipo ikambidi sasa salha aende kumuuliza mtume wa mwenyezi mungu ni nini wafanye ndipo alipomwambia amnyonyeshe huyo salim maana akishakunywa maziwa yake atakuwa ni mtoto wake wa damu na hofu akiyonayo mumewe itamtoka (wivu wa mumewe).
Na kwenye kitabu cha ibn sa'd kiitwacho tabaqat anasema salha alikuwa akikamua maziwa yake kwa siku 5 nzima kwenye chombo kisha salim alikuwa akiyanywa maana hairuhusiwi asiye maarim( mtu mnayeshare damu ndugu,baba ,mama ,kaka n.k) kukuona bila stara.
NA BADO
Uislamu haumchukulii mtoto wa kufikia kama ni mtoto halali wa wale waliomrithi ndiyo maana akamwambia amnyonyeshe ili kumfanya mtoto halali.